piere umenena sana ndugu! we want to pocbolize da impocbility.
tufate tu utaratibu coz kuna mambo mengi ya kiusalama yanaweza tokea na kuvuruga amani yetu!
wewe usiyeona makubwa aliyoyafanya ndo hamnazo!
nipo tayari kuitwA hamnazo, but mwakyembe is the great! Alfa and omega!
ukiona huoni ulichofanya your the blind! get out of your shell!
usichukulie kwamba samaki mmoja akioza wote wameoza! u can simply say CCM ni wauza unga! are u mad?
mwakyembe, magufuli, filikunjombe, kina kangasheki ni wauza unga? acha uzembe wa kufikiri wewe!
basi hata silaa, Lisu, Kambe watakua hivyo kama ni kumtuhumu mtu kilahiso hivyo!
kaka african girls are so beauty, n sweet if u do not blv ask white men thmselves! kwani wa zamani yuko wapi au tamaa za fisi!
kaka au umeambiwa kwa mzungu kuna some content zinaongezeka?.......... hahahaaaa.... umebugi meeeen kitu ni kilekile!
hahahahaaaa.............! ni kweli kaka kushinda udiwani kata nne ndo kama wamechukua nchi!
Kwani walitaka wachukue wapi kama sio nyumbani kwao Arusha?
hiyo ndo ngome yao sasa nini? wakashinde na zanzibar bac!
Kama unamwamini Mungu jua kwamba everything happens for a reason! Mungu ni mwema kila wakati hayo ni mapito tu! na umeamua vizuri najua umevumilia sana na umeomba ushauri ! may be tht was a wrong choice! na Mungu anataka kukuepusha na balaa hilo! God b wth u in whtver your do'
yap welcom! inatumia moderm, flash, memory ina camera etc, skyp, viber, whttsup , Facebook,twitterl na vingine kibao.,, ! njoo tuzungumze! program zote za android zinapatikana!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.