Real Madrid Vs Chelsea

Real Madrid Vs Chelsea

oooohh my my my..............huyu Ronaldo ni balaa....goli la tatu in favour of RM......
 
Mmmnh, Chelsea kweli wako live, cha tatu kama wamecmama
 
Mmmnh, Chelsea kweli wako live, cha tatu kama wamecmama

wameanza kwa nguvu kipindi cha pili wakamsahau Ronaldo....duuhh.....kweli wanamuhitaji Rooney.....
 
Kama ushambuliaji wa Chelsea ndio huu, basi ni butu, na wanamhitaji Rooney
 
naona sasa Chelsea wamechanganyikiwa aisee....naona mshabiki anamkumbatia Ronaldo.....
 
Wakamfunge Barca huko,sio sisi,hapa kazi tu!waende wakaseme tena!
 
aaaaah noo refa kakataa lile goli!!........ilikuwa liwe goli la nne lile......
 
dduuuuh gemu limekwisha.....RM 3 (Ronaldo 2, Marcello 1) - Chelsea 1 (Ramires 1).....alamsik...waheshimiwa wote....
 
Ni pre season tu jamani tusichanganyikiwe
 
Nimeona jana kabla ya game waspanish wanasema Mourinho hajawahi ifunga Madrid
 
duu tht is great! at least i'm happy coz wanapiga kelele sana mashabiki! pamoja na mchezaji wao the special wamepigwa? hahahahahaaaaaa..............
 
duu tht is great! at least i'm happy coz wanapiga kelele sana mashabiki! pamoja na mchezaji wao the special wamepigwa? hahahahahaaaaaa..............

Hahahaha The special, The only One "HOI", huyo ndo Christian Ronaldo dos Santos Aveira, hahaha tena wana Chalsea wanatakiwa wamkane huyo jamaa aache kudharau watu waliomfanya aishi kwa aman pale Santiago, polen saaan
 
Back
Top Bottom