Recent content by edwin kanoni

  1. E

    JamiiForums Tanzania Inaweza kuchukua karibu mwaka mzima kwa magari ya Jeshi kusafirisha hizo korosho

    Alieuza cheni bandia kapewa pesa bandia Hii tunaita mbwa kala mbwa Kwako mwalim kashasha
  2. E

    JamiiForums Tanzania Selection za vyuo vya afya, Joining Instruction na taarifa kuhusu kozi za afya

    Fanya umchek DMO wa wilaya ambapo chuo ulichochaguliwa kipo huwa kuna program kama Mkapa foundation au Nyerere foundation huwa wanasomesha af then kaz utapangiwa ktk wilaya hiyo hiyo
  3. E

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Kinondoni vp jaman??
  4. E

    JamiiForums Tanzania Selection za vyuo vya afya, Joining Instruction na taarifa kuhusu kozi za afya

    Jaman mi sielew mtu umechaguliwa diploma ya clinical dentistry mbeya af unatumiwa joining ya clinical dentistry Tanga sasa unafanyaje
  5. E

    JamiiForums Tanzania Dr. Mwakyembe afunguka kuhusu Richmond na dhamira yake kugombea Ubunge tena - Oktoba 23, 2015

    Ooooh gar iko mteremkon breki zimekatika af yy anasema kasahau beg stand mwakyembe imekula kwakooo
  6. E

    JamiiForums Tanzania Selection za vyuo vya afya, Joining Instruction na taarifa kuhusu kozi za afya

    Dental mbeya nan kapata joining??
  7. E

    JamiiForums Tanzania Mgombea Urais wa CHADEMA, Edward Lowassa kutoshiriki mdahalo wa Oktoba 18, 2015

    Mbona ccm wamekubal af wamepepeaa bora ukawa wametoa sabab znazoeleweka
  8. E

    JamiiForums Tanzania Hivi mama Regina Lowassa ndiye mgombea mwenza wa UKAWA?

    Kweli mfamaj haish kutapatapa mgombea wenu hana mke ndomaana hamumuoniii,,, nakama kinakuuma mama lowasa kupiga kampen kajinyonge
  9. E

    JamiiForums Tanzania Spencer Lameck Leo Kutupa Raha ITV Habari

    Pipooooz
  10. E

    JamiiForums Tanzania Spensa Lameck achukuliwe hatua kwa kupotosha UMMA, Lowassa sio Mkombozi wa Tanzania ijayo

    Mleta uzi kalewa matango pori!!!!
  11. E

    JamiiForums Tanzania Selection za vyuo vya afya, Joining Instruction na taarifa kuhusu kozi za afya

    Hiv inawezekanaje chuo kikawa na usajili af wanafunz wasisajiliwe na wagomewe kuajiriwa
  12. E

    JamiiForums Tanzania Selection za vyuo vya afya, Joining Instruction na taarifa kuhusu kozi za afya

    Wewe acha kupotosha watu mpaka Leo hakuna mwanafunz yoyote wa Kampala aliyeajiriwa and up to now certificate na diploma waliahidiwa kwenda kufanya verification mpaka Leo hakuna aliyefanyiwa hyo process,,, acha kuongea vtu ulivyoviskia kwenye matangazo
Back
Top Bottom