Rais anasimamia raslimali za watanzania kama Rais wa nchi sio kama mbunge.Rais ni mmoja wabunge ni wengi, hata asiposema ndioo akanyamza bado wa ndio watakuwa wengi. Mbatia kwa hili amechemsha.Kwa sasa tunamuona Rais dhamira yake wakati akiwa mbunge wakati ule alikuwa hana maamuzi ya uamuzi wa...
Ukweli ni wazembe, tatizo walio wengi wanajiona kuwa wamesoma, wanadharau wengine pia hawana uzalendo na nchi yao na wanajinufaisha wao na matumbo yao,japo sio wote.
Vyama vya siasa navyo vianze utaratibu wa kujitegemea na kuanzisha miradi yao, kwan kwa ruzuku toka serikalini imekuwa chanzo cha migogoro ya baadhi ya vyama vya siasa. Inatumika vibaya kwa kuwanufaisha wachache na sio wanachama.
Hoja hapa sio kodi mbalimbali kupunguzwa, isipokuwa Zitto anajua kuwa bajeti hii ya pili ktk utawala wa JPM imetisha,imekithi viwango haijawahi kutokea.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.