Chenge jiuzulu Uenyekiti wa Bunge kwa kashfa hii ya kuliibia taifa kupitia mikataba mibovu ya madini

Kwenye mitandao ya kijamii mingi wanasema tatizo ni Lisu
Wewe pitia whats app group, jf, fb, twitter, etc jina ni Lisu tu linatembea utafikiri miaka hiyo ndie alikuwa mwanasheria wa serikali
Ndiyo maana kwa maoni yangu naamini watz wengi hawana uwezo wa kufikiri vizuri. Hawajui wanataka nn na akili zao zinashabihiana na za kuku. Mara hii hawajishughulishi na nani aliyetufikisha hapa wanajishughulisha na anayewambia ukweli kuwa tukitaka tupate cha halali toka kwenye hii migodi basi tubadili sheria
 
Mzee baba mwenyewee hajamtajaa hata Mara mojaa kwenye hotuba yakee zaidi ya mwenyeketi wa tumee. Hiyoo indhiirisha kabisaa kwambaa Mzee baba hatoki na mtu ajichanganye aone
 
Binafsi nitaamini kuwa Rais yuko serious mpaka siku watu kama akina Chenge watakapopandishwa Kisutu ............. hata kama watashinda kesi!! Ila hii ya kuongea kwa uchungu peke yake majukwaani haisaidii ........ lazima aonyeshe mfano kwa kizazi cha sasa na kijacho ili huko mbeleni tusije kupata akina Chenge wengine!!
 
We fala acha kujitoa ufahamu na kuwadanganya watz. Hapo kwenye chenge toa hilo neno na weka neno ccm ....
Haya yote ni matokeo ya ccm magufuli akiwemo
 
Ccm watakuambia tatizo ni tundu lisu siyo cjenge yaani ata leo wanasema tatizo ni upinzani wakati matatizo yote yameletwa na ccm
 
Kumbe bungeni tunaamua mambo kwa mtindo wa NDIOOOOOO ili kuwakomoa wapinzani. Kwa minajili hiyo, Chenge bado yupo sana tu.
Wezi na wadhulumu wakubwa wa Tanzania ndio wanaojidai wazalendo na watanzania halisi kuliko wengine. Jinai ni jinai...mbele ya watu na ni makosa mbele yake Mwenyezi Mungu. He survives because of the Quid Pro Quo status of the brotherhood. It was possible back then to protect him...the question is for how long????
 
Yaani JPM bila kumwambia Mzee Chenge awajibike watanzania hawatamwelewa kabisa, huyu mzee kashfa zote yumo, kae pembeni apishe uchunguzi, aeleze pia zile $500K alizipataje..
Chenge lazima aondeke ili serikali ya awamu ya tano irudishe imani kwa raia...halina mjadala...
 
Mtemi Chenge kwenye fedha za Rugemalila yupo, tena alikula 1.6 billion, jamaa hatari.
 
Back
Top Bottom