Hivi ukiwa nchini Rwanda,( ndani ya nchi yenyewe) utapanda ndege wende wapi? Ka nchi ni kadogo sana!!! Je kwa Tanzania! Toka dar to Mnz, Tabr. Kigoma, Mby, Songea, n.k. hou ni ufafiri wa ndani to.
Wewe mwenyewe Uko na akili ya siasa na si uhalusia
liyefyatua risasi ndio pekee wa kuwajiboka kwa maana ya kuchukuliwa hatua za kisheria. Kuwajibishwa kwa hao wengine labda ni kwa mujubu wa sheria za uanaharakati.
Kukaa Uingereza familia nzima, kwenye Hotel kubwa Mwezi mzima jamani si pesa ndogo!!!!
Wanasema wanajilipia wenyewe, (kumbe sivyo!!!!)
Mali za viongozi si lazima zijulikane?
Halafu Rais haja conclud ila amaegiza uchunguzi ufanye
Na hajazuia kusafiri ila ametilia shaka uwezo kulipa hiyo gharama.
Ni maswali mazuri ya kujiuliza ILS kwa vile we na mm tuko out of the system hatujui lolote lile tunaongea kwa kudhania na kufikiria tu.
Kwa mawazo uliyokuwa nayo basi kitu usafiri wa anga usingekuwapo duniani
Ufinyu wa mawazo ndio unaosumbua
Mm nadhani Dereva angekuwa shahidi namba moja, na kwa bahati nzuri sana mlengwa amesalimika awe shahidi wa pili ikifuatia sasa na vielelezo vya CCTV, majrani walinzi wa zamu wa eneo husika.
Katika upelelezi huo ndio ungefuatwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.