Watanzania lazima tukubali kuwa kulipa ushuru ndio kuiendeleza nchi.NI ulipe kodi ukijua kuna mtu wa kuilinda kodi hiyo kuliko kulipa kodi inakwenda Na wachache mafisadi.hongera Dr.magufuli.
Mtu anapoamua kufanya kazi mnaanza siasa zisizokuwa Na msingi.tumekuwepo kwa bahati nzuri tawala zote nne sasa tupo tawala ya tano.kinachohitajika si kumfananisha MTU Na nani,hapana ni je ni nani anae weza kubadilisha maisha ya mwananchi wa kawaida.je NI nani anae weza kulinda Mali ya mwananchi...
Wakati ule puza ulikuwa tishio kwa migomo,fujo baina ya Shule Na shule .nilikuwa Na mwalimu alikuwa anaitwa otieno ulikuwa Mwl.mkuu musoma alliance kama ulikuwa mkorofi shuleni ulikuwa huwezi kuendelea Na masomo kwani ndiye alikuwa mkuu wa body selection.lakini sidhanii kama ndio ulikuwa sababu...
Ingelikuwa Ni moja ya mtoto ya hao walimu nini kingefanyika?walimu hao wanapaswa kuchukulia sheria stahiki.Mimi kama Mimi ningependa kujua hao walimu wamekanyaga wapi ambapo wazazi wa huyo mwanafunzi hawawezi kufika?iwe NI fundisho kwa hao walimu Na wengine walio Na tabia kama ya hao.
Chadema si chama,chadema ni sacco,nimesema mara nyingi Na watanzania hamkunielewa sasa chama chochote cha ushirika kinapozidiwa maarifa Na chama kingine cha ushirika lazima propaganda ziwepo kuwa wale ni wezi n.k.kwa hiyo imeonyesha wazi chadema ni sacco ya wachagga.
Mbowe hana utu hata kidogo ni mtu anaependa maneno maneno.baba wa taifa ilipotoka Lancaster' kule London alimtaja baba yake freeman kama mtu asie kuwa Na uzalendo Na hafai kuwa kiongozi Wa nyumba kumi.kwa hiyo mbowe amefanana Na baba yake tabia Na matendo.hafai KUWA kiongozi.ana sofa...
Ninafurahi kuwa mpinzani wako anafanya kazi.kama ni udikteta anafanya kwa wezi ndani ya chama chake,au unataka aje Na kwenu umueleze Richmond ilikuwaje?
Sijafika iringa.nimetembea Tanzania yote nimeacha mikoa minne iringa ikiwemo,Na kama unayoyasema NI sahihi basi watanzania hawapaswi kuishi diaspora NI heri warudi nyumba ni wafanye mambo nikiwemo Mimi mwenyewe.
Mimi nafikiri watu mnaocomment labda huwa hamuelewi mnachokiongea.hakuna mwanadamu aliyeita tetemeko,unapofurahia kwa kusema Fulani alaumie huwa kuna upungufu Fulani ndani ya mawazo.watanzania nafikiri tunapendana sana,tuone nini cha kufanya ili kuwasaidia waathirika.period.
Watanzania mumeanza KUWA kama wakenya wanaongea siasa tangu wamalize uchaguzi mpaka uchaguzi mwingine.nafikiri mwisho Wa siku mtaipeleka nchi kwenye ukabila.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.