Nahisi shule ni tatizo kwenu,kuna tofauti kubwa sana Kati ya askari wa wanyama pori na polisi na wala hakuna kikosi kinachoitwa polisi wa wanyama pori,mnawachukia bure polisi
Utakufa kifo kibaya sana ww nyau,unapata wapi ujasiri wa kutamka ovyo namna hiyo? Dhambi yako itakufuata popote utakapoenda,ni heri ungeitubia hiyo dhambi
Kama unaamini uko sahihi kwa nini ukubali kutoa hiyo hela?wananchi pia tunachangia kwa kiasi kikubwa mianya ya rushwa,lkn vipi khs hao mafisadi wanaoitafuna nchi mbona hamuandamani? Lkn kubwa zaidi tukitaka kukomesha mambo haya siku mona wananchi tuandamane kuishinikiza serikali iwaongezee hawa...
Umenena vyema sana,Watanzania tuamke,Huu sio wakati wa kuchagua chama eti kwa kuwa tu baba na babu yako ni waumini wa chama fulani,tukubali mabadiliko sasa tuwajaribu na hawa wanaowaita wapinzani tuone watafanya nn,tuwape hata muhula mmoja tu wa miaka 5,
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.