Recent content by Edson Carrington

  1. Edson Carrington

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni mara 100 ukutane na Chui kuliko Mamelod Sundown

    Can't wait to see Mamelodi anavyokula vyura jamgwani
  2. Edson Carrington

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kati ya Pacome na Chasambi ni vita kali sana

    Pacome mechi 6 goli 3 Onana mechi 1 goli 2
  3. Edson Carrington

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kati ya Pacome na Chasambi ni vita kali sana

    Mzee unatumia nguvu kubwa kujiaminisha
  4. Edson Carrington

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Simu Infinix smart 6 inauzwa

    Habari wakuu, Infinix smart 6 inauzwa, Good Condition imetumika miez 3 tu! Inatakiwa laki moja na tisini chapu, Simu haina tatizo lolote lile. Nipo Tabata Kimanga, kwa mawasiliano zaidi No. 0615091250
  5. Edson Carrington

    JamiiForums Tanzania Taja tabia yako/mazoea yako fulani hivi ambayo huyapendi na unasumbuka kuiacha/kuyaacha please don't be shy someone might give you a solution here

    Huruma na Kusaidia sana watu, kitu kinachopelekea wageuke kuwa maadui zangu.
  6. Edson Carrington

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uzinzi huongezeka siku za sikukuu

    Uzi wa kipumbavu 2024
  7. Edson Carrington

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa biashara ya kutoa na kuweka pesa maeneo ya chuo

    Usalama wa fedha zako, sijui itakuwaje maana wenzako wataelewa kuwa unatembea na pesa tena pesa ndefu. So ni rahisi begi lako kupekuliwa au kutegewa mtego.
  8. Edson Carrington

    JamiiForums Tanzania Sakata la Palestina, na taswira ya udini duniani

    Kwanza nianze na salamu kwa wana JF wote nikiamini ni wazima na mnaendelea vizuri. Pili niende moja kwa moja kwenye muktadha wa uzi huu kuwa hauna nia ya kudharau, kupotosha au kuchochea suala lolote la udini wala siasa. Moja kwa moja tukienda kuangazia sakata linaloendelea huko magharibi mwa...
  9. Edson Carrington

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mo Dewji Fei Toto anakusubiri

    Sawa Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Edson Carrington

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania AFL: Petro de Luanda 0 - 2 Mamelodi Sundowns | 21.10.2023

    Mbona uzi haujawekwa matokeo sahihi Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Edson Carrington

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mo Dewji Fei Toto anakusubiri

    Salam JF, " Siwezi sema nina furaha sana nikiwa hapa, ndoto zangu siku moja niwe moja kati ya wachezaji wakubwa Afrika, na naamini hili nitalifanikisha nikiwa timu na bora yenye kushiriki michuano mbalimbali Afrika mara kwa mara, na hii pekee ndio njia ya kuwezesha kipaji changu kuonekana kwa...
  12. Edson Carrington

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania AFL: Petro de Luanda 0 - 2 Mamelodi Sundowns | 21.10.2023

    Kwanini hatukupewa hawa Petro de Luanda Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Edson Carrington

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gentleman mjifunze mapenzi

    Nonsense Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Edson Carrington

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya mikopo ya elimu ya juu 2023/2024 na changamoto zake

    Kulikuwa na haja gani ya kuwapatia mikopo diploma, ilihali bachelor kuna uhitaji mkubwa. Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Edson Carrington

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini Simba haipandishi mashambulizi

    Sawa Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom