Recent content by Edokay

  1. Edokay

    IKULU: Kamati ya Pili ya Mchanga wa Madini kuwasilisha ripoti yake kwa Rais Magufuli Juni 12

    ChamalaDola , uzalendo haupimwi kwa staili hiyo, angalia wapi tulipotoka. Ndio hvyo hvyo kushangilia bajeti bila kujua madhara yake baadae. Nashauri meza ziwekwe msumari ili urahisi wa kupiga na kushangilia upungue
  2. Edokay

    IKULU: Kamati ya Pili ya Mchanga wa Madini kuwasilisha ripoti yake kwa Rais Magufuli Juni 12

    Pale ripoti hii itakapofichwa kama ya Faru John na aibu kubaki kwa serikali....sijui itakuwaje
  3. Edokay

    Tetesi: Acacia keleta Askari Wazungu/Mamluki

    Tuna historia ya ripot ya pili ya Faru John, serikali iliufyata
  4. Edokay

    Yaliyojiri, Mashindano makubwa ya usomaji wa kitabu kitakatifu Qur'an leo 11.06.2017 uwanja wa taifa

    Makonda anaongea kwenye mashindano ya Quruan hawamuoneshi sauti tu ndio inasikika,,wachukua picha wanachukua vitu vingne tu
  5. Edokay

    ITV na EATV mitambo yenu bado ya kizamani, jifunzeni kwa AZAM TV

    Naangalia michuano ya sport pesa, duh! Camera zao sijui zikoje watu wote wanaonekana virikuu! Pia kurudia tukio sijui wanarewind kama kanda za zamani.! Nunueni mitambo ya kisasa kama Azam tv.
  6. Edokay

    Mwenye updates za kuliamsha dude pale Ufufuo na Uzima

    Habar za asubuhi, mwenye nini kitaendelea kwa Gwajima atujulishe ili tukae mkao
  7. Edokay

    Vichekesho ndani ya vitabu vya TET

    Umechambua vyema mkuu, tena kuna sehemu ni vichekesho tosha mf. kwenye insects. Duh! Kama ni China hawa waandshi ni kunyongwa hadharani! Lakini na ww umekosea baadhi ya sehemu, mf. Unapouulza "hii itakuwa ni sentence kweli?" Jibu ni ndio kwani kuna aina nyingi tu za sentence. Kingne ni neno...
  8. Edokay

    Tetesi: Tetesi; Kaimu kamishina wa elimu na kaimu mkurungezi TAI kuwekwa kitimoto.

    Hii ni kuhusu vitabu vilivyotolewa kuwa na makosa
  9. Edokay

    Ipi sentensi sahihi?

    " I was not informed by Juma" hii ni Passive voice ( hali ya kutendewa) . Sheria zake ni kwamba verb lazima iwe kwenye past particple form ambapo regular verb huongezwa 'ed' mwishoni, lakini kwa irregular huwa na muundo tofauti tofauti kulingana na verb yenyewe! Pia, "was" ni auxiliary verb...
  10. Edokay

    Lipi neno sahihi kati "SAINI na SAHIHI?

    Naomba kujua matumizi ya hayo maneno kuoneshe "signature" lipi ni rasimi?
  11. Edokay

    INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

    Sh. ngap? Aina gani ? Naomba na picha
  12. Edokay

    Mduhumu wa stationary aliscan cheti changu badala ya kupiga kopi

    Unaijua fesibuku ww? Kuwa mpole sisi ni dampo tu, hatuwez kutofautisha uzur wa mtandao mmoja wa jamii na mwingne! Tumeletewa vyote!!! Huna haki ya kuhoji uzuri wala ubaya wa hv vtu!!
  13. Edokay

    Mduhumu wa stationary aliscan cheti changu badala ya kupiga kopi

    Unaijua fesibuku ww? Kuwa mpole sisi ni dump tu wote hatuwez kutofautisha uzur wa mtandao mmoja wa jamii na mwingne! Tumeletewa vyote!!! Huna haki ya kuhoji uzuri wala ubaya wa hv vtu!!
  14. Edokay

    Mduhumu wa stationary aliscan cheti changu badala ya kupiga kopi

    Ww umesoma wapi? Au ndo la saba X
Back
Top Bottom