Recent content by ednx

  1. ednx

    Kuna interview za aina hii?

    Mara ya kwanza kuna rafiki yangu aliibiwa sh.50000 kwa kuambiwa atume kwa mpesa kwa mfumo kama huu wa kwenye hizi shots, sasa hivi naona tena wamekuja hadi kwangu eti nichangie hela kama ionekanavyo[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] hizi ni application za kupitia...
  2. ednx

    Zanzibar: Yaliyojiri kwenye ziara ya Rais Magufuli kisiwani Pemba - Sept 2016: Ampongeza Jecha kusimamia uchaguzi vizuri

    Kwa nchi za Afrika demokrasia haiwezi leta maendeleo jaribu kuangalia historia halisi ya uongozi katika dunia
  3. ednx

    Ikithibitika ni kweli Mbowe anadaiwa, basi naachana na upinzani

    Rent na tax ni vitu viwili vyenye utofauti mkubwa sana tofauti na maelezo ya kimamlaka
  4. ednx

    Waajiri (serikali na binafsi) acheni kuvipendelea vyuo vya IFM na UDSM katika ajira

    Kupata first class ifm ni kama upo kwenye mazoezi ya kujiunga na CIA maana huwezi fananisha msako wa IFM kwenye GPA na msako wa CBE kwenge GPA, HUWEZI MAKE COMPARISON IN SUCH MANNER maana hata perfomance ya utendaji ni moja ya nguzo na vigezo vinavyowabeba IFM na UDSM
  5. ednx

    Uteuzi wa vijana katika nyadhifa za juu utakuwa mwanzo wa mwisho wa CHADEMA

    It shows that u are under age though u tried kujenga hoja bigg up mdogo wangu ila unachowaza ni tofauti na uhalisia wa kisiasa
  6. ednx

    Halotel (Viettel) yaigomea Serikali ya Tanzania

    We jiulize kwanini katika mabara yote sita Africa pekee ndo kuna watu wana ngozi nyeusi [emoji67][emoji67] though i love being black ila kuna katatizo huku kwenye hii rangi
  7. ednx

    Halotel (Viettel) yaigomea Serikali ya Tanzania

    Hilo ndo muhimu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maana watanzania na sisi wavivu hata hao viettel wamesaidia sana ajira 2000 si mchezo makampuni mengi sana anajiamulia nini yafanye maana hii nchi wameiona ya mabwege bwege
  8. ednx

    Halotel (Viettel) yaigomea Serikali ya Tanzania

    Kuna siri nzito behind TTCL wale wenzangu na mimi tunaompenda LUWASSA mzee kaiangamiza TTCL ili vodacom anayoimiliki kihisa kwa TZ iwe juu, anayekumbuka kipindi mwandosya waziri wa mawasiliano kulikuwa na simu za TTCL zimeingizwa nchini ( pale kuna siri nzito kwa nini mradi ulikufa ) kwa usalama...
  9. ednx

    Je, Rais wetu, Magufuli anasoma JF? Rais, Please msikilize Binti huyu, ana hoja ya Msingi!

    Unajua TRA ina charge kodi kubwa kutokana na watanzania wengi kutolipa kodi yaani nikimaanisha idadi ya walipa kodi ni ndogo kuliko idadi ya watanzania wanao paswa kulipa kodi, sheria na kodi ni kwamba kiwango kinavyoongezeka cha ukusanywaji wa kodi na kiwango kinapungua kwa walipa kodi endapo...
  10. ednx

    Je, Rais wetu, Magufuli anasoma JF? Rais, Please msikilize Binti huyu, ana hoja ya Msingi!

    Misingi ya nchi yetu imebomolewa na uongozi dhaifu uliopita maana kwa kipindi cha miaka kumi iliyopita ni watu walikuwa wanajikatia minofu katika nyama ya nchi hii iliyonona na kuitafuna peke yao wakihisi na kujisahau kama ipo siku kuna kifo na kuyaacha haya yote duniani, sheria za kodi na...
  11. ednx

    VIDEO: Rais Magufuli awajibu Watetezi wa Haki za Binadamu. Asema wanaweza kuwa wanatetea uovu

    Mambo mengine ni kuyaweka kiuhalisia, mfano umemuajili mfanyakazi ndani ya nyumba yako na akakuibia utamuacha kwasababu unafata haki za binadamu au utaacha kuwaambia watu ameiba kwa kuwa unafata haki za binadamu???. Binafsi sijaona udikteta na hata kama ni udikteta ni bora kuliko democracy...
  12. ednx

    Je, Rais wetu, Magufuli anasoma JF? Rais, Please msikilize Binti huyu, ana hoja ya Msingi!

    Mi najiuliza sana na huwa siachi kujiuliza kwanini wafanyabiashara au raia hawapendi kulipa kodi?? Je wanadhani huduma nzuri, maendeleo mazuri tunayoyatafuta yatapatikana kwa raisi kutoa hela zake mfukoni au kwa kutegemea wahisani wenye lengo la kuingiza ukoloni mambo leo kwa njia ya misaada na...
  13. ednx

    Nchi ni Rais na msimamo

    Tatizo takukuru nao ni wala Rushwa na viongozi wanazembea mpaka rais anatoka ikulu kwenda kumfuta mtu ajira ni upunguani wa wale waliopewa madaraka na raisi kuongoza wengine lakini bado wapo dhaifu
Back
Top Bottom