ednx
Member
- Mar 7, 2014
- 20
- 15
Mara ya kwanza kuna rafiki yangu aliibiwa sh.50000 kwa kuambiwa atume kwa mpesa kwa mfumo kama huu wa kwenye hizi shots, sasa hivi naona tena wamekuja hadi kwangu eti nichangie hela kama ionekanavyo[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] hizi ni application za kupitia zoomtanzania.com