Ninacho farijika nacho ni kuwa CCM imetawala nchi hii kwa zaidi ya miaka 50 sasa.... Na haya yote yanatokea kwenye mamlaka ya CCM, lakini cha ajabu wafuasi wa CCM kutokana na kuwa na ufahamu finyu wanahisi hizo tabu njaa na umasikini vinasababishwa na vyama vya upinzani na kuanza kutoka povu...
Kwanza waanze na tuhuma za 10 million za wabunge kisha waje na kwa kamanda Sirro kisha waje na majibu... Kama kamanda Sirro ni kweli atumbuliwe na kama Makonda ni muongo afunguliwe mashtaka na kupigwa chini na Mh Raisi
God Bless CHADEMA.... Mh Zitto Kabwe we nenda tu ccm wamekuwekea nafasi yako.... Huko ndo uliko takiwa uwepo toka mwanzo na sio ktk chama cha ukombozi CHADEMA
Hongera CHADEMA daima mapambano ndio yapo namna hiyo inapobidi kumtoa msaliti hata Kama ni maliaka lazima atoke.... Kwani hata Mungu alimtoa shetani ktk kundi la malaika baada ya kumsaliti... Daima mapambano
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.