Recent content by Ednatha

  1. Ednatha

    JamiiForums Tanzania Moto wa kisasi unawaka ndani yangu!

    Asante ndugu, nilichagua kusamehe na sasa nina amani moyoni.
  2. Ednatha

    JamiiForums Tanzania Moto wa kisasi unawaka ndani yangu!

    Ubarikiwe 🙏🏻
  3. Ednatha

    JamiiForums Tanzania Moto wa kisasi unawaka ndani yangu!

    Wahusika wanadunda mtaani ila namshukuru Mungu kwani ni 'Salama rohoni mwangu'
  4. Ednatha

    JamiiForums Tanzania Hii ndio maana halisi ya biashara ya nyoka inalipa

    I see!
  5. Ednatha

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Anahitajika mwanaume aliyetayari kuwa mume

    Asante shemu😉
  6. Ednatha

    JamiiForums Tanzania R.i.p Afande Nicholaus Lonjino

    Apumzike kwa amani!
  7. Ednatha

    JamiiForums Tanzania TANZIA Msanii maarufu Bi Hindu amefariki Dunia leo Julai 9, 2022

    Apumzike kwa amani
  8. Ednatha

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa ndoano, nimepoteza kipato mke wangu kaanza kunidharau

    Pole mkuu
  9. Ednatha

    JamiiForums Tanzania Msaada, mwanangu ghafla haongei

    Pole sana. Mungu akupe mwongozo sahihi wa kukabiliana na hilo tatizo Wapendwa huu sio muda sahihi wa kumhukumu, kwanza hatujui mazingira yaliyosababisha kuwapeleka boarding school. Kikubwa anachohitaji kwa sasa ni ushauri na faraja yetu
  10. Ednatha

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza nazi

    Ningekuwa Da'slam ningekutafuta.
  11. Ednatha

    JamiiForums Tanzania New member

    Naona umeamua kumkaribisha kwa mikono miwili[emoji38]
  12. Ednatha

    JamiiForums Tanzania Mgeni

    Karibu mgeni, jisikie uko nyumbani
  13. Ednatha

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Anahitajika mwanaume aliyetayari kuwa mume

    😄Ok, asante kwa ufafanuzi!
  14. Ednatha

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Anahitajika mwanaume aliyetayari kuwa mume

    Bilashaka huu sio ujumbe wangu ndio maana sijauelewa. Hope mwenye ujumbe wake ataelewa vyema
  15. Ednatha

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Anahitajika mwanaume aliyetayari kuwa mume

    Poa! Niko Pwani
Back
Top Bottom