Hatakama wamamzika kwa siri lakin mamb aliyofanya Gadafi libya yatakumbukwa na wanalibya hiyo si suluisho la kufuta kumbukumbu ya kanail GADAF atakumbukwa siku zote kwa mamb aliyofanya Libya na nchi nyingine zilizopewa msaada na Libya katika madaraka ya kanal Gadaf watamkumbuk kufuta kumbukumbu...
Kwa mimi ninavyoona kuzima simu si suluisho haina tofauti na m2 anaye kunywa pombe analewa anadai anapoteza mawaza wakati kesho akiamka tatizo liko pale pale kwahiyo ilo si shuluhisho cha msingi ni kumsikiliza na kutatua tatizo
Hilo ndile tatizo za shule zetu za st kayumba kwamaana kwa kipindi hiki watu wengi wakisikia mtu amaonge lugha ya kigeni unajulikana umesoma ndio kibongo bongo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.