Recent content by edman

  1. E

    JamiiForums Tanzania Uhamisho kwa watumishi wa Serikali za Mitaa, July 2015

    ROho inapwitapwita yani Hadi nakuwa mdogoooo sasa xule zishafunguliwa kwenda kazin naona jam cjui ni lini utata huu utawekwa waz
  2. E

    JamiiForums Tanzania Vidonda vya kichwani vinaniharibia binti yangu

    Wadau msaada katika hili, binti ana miaka mitatu toka amezaliwa, tatizo la vidonda kichwan kila nywele zinapoota kichwan. Nimehangaika na dawa na ushauri tofauti tofauti lakini mafanikio yamekuwa haba kwani tatizo huondoka nywele zinapoondolewa mara zinapoota vidonda hujirudia, naomben ushauri...
  3. E

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Ezekiel Malongo wa TBC afariki dunia

    mungu amrehemu apumnzike kwa aman
  4. E

    JamiiForums Tanzania Anatumiaje namba niliyosajili kwa jina langu?

    nashukuru kwa ushauri wana jamvi hakika kwa nawazo yenu naamin nitalipatia ufumbuzi swala hili
  5. E

    JamiiForums Tanzania Sitarudia tena kutumia njia hii ya kurefusha maumbile

    umelikoroga basi linywe tu kaka karibu makao makuu ya CHAPUTA kwa ushauri na usajili wa kudumu
  6. E

    JamiiForums Tanzania Anatumiaje namba niliyosajili kwa jina langu?

    habarini wapenzi wana jukwaa. Mimi Nina ex wangu ambae pia ni mzazi mwenzangu kwa binti yetu .wakati bdo tupo pamoja nilimnunulua cm na nikanunua na kadi yake,kwakuepusha usumbufu nikaamua kuisajili kwa kitambulisho changu.baada ya mda kama was mwaka na nusu hivi tulitofautiana na kila mtu...
  7. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilishindwa kumnunulia simu akarudi kwa mpenzi wake wa zamani, kataka kunivunjia ndoa

    hapo hakuna mke
  8. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kigezo cha dini katika mapenzi

    waelekeze wasipo elewa oa kwanza wataelewa kwa vitendo
  9. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Napasua Jipu.....pwaaaaaaaaaaaa

    mh! Its likely 2 b a lesson
  10. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushaur; Mama mkwe ananichukia.

    tinga tinga tinga halaf mimbisha atajiseti tu hyo mama
  11. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania My X-girlfriend Anaomba nimsaidie wakati ana mume.

    uache kumsaidia ata kdogo maana hvo v campan unavo mpa ndo vinampa ujasîri wa kuomba hela zaid! Halaf nakudis knyama kumsamehe malaya et amezidiwa... Ushamba huo wapo wa kutosha hao viumbe
  12. E

    JamiiForums Tanzania Vodacom ni wezi wa airtime

    poleni sana ambao bdo mpo uko kwa wez wakubwa hawa! Msichelewa njooni kwa mtandao wetu wa hakatwi mtu hapaaaa! Raha tup
  13. E

    JamiiForums Tanzania Diwani wa CHADEMA,kizimbani kwa kuvunja ofice na kuiba

    chama cha majitu ya kuandamana kuchochea vurugu na kuiba mchana kweupeee! Koma yenu kushika nchi nani awape?
  14. E

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria nahitaji kuishitaki VODACOM & NMB

    kilicho haki yako kina thaman na unatakiwa kutoachia eti mtu akihodhi et kwa kuwa ni kdogo pambana nao kjana
Back
Top Bottom