Recent content by edger jairos

  1. edger jairos

    Vidonda vya tumbo mpaka kooni

    Wapendwa habari, Mimi ni mwanachama mwenzenu humu jf, Nina mtu mzima mmoja ndugu na mimi anasumbuliwa sana miaka miwili sasa na vidonda kiasi cha kufika shingoni,nafuu yake ni kula kwa wingi na kula bamia. Je, mnanisaodiaje Ana Bima kubwa apate msada Asanteni sana Mwenye kufahamu combinations...
  2. edger jairos

    Hatimaye Mahari yangu yote imerudishwa

    Mkuu vip 0748001009 Ulirudishiwajwe mahari.??? Ni njia zipi za kupitia?
  3. edger jairos

    Mchumba ana hasira

    Kisheria ni kwa wajumbe au serikali mtaa Zaid sdhan
  4. edger jairos

    Mchumba ana hasira

    Eeeee,si imooo Kipind chamama hikii Wanaleta maringo
  5. edger jairos

    Mchumba ana hasira

    Jamani mnisaide, Je, kuna sababu yoyote inayofanya umwache mwanamke ambaye hataki ndoa, hatimaye kurudishiwa mahali iliyolipwa? Na utaratibu wa kurudishwa upo, kama upo upi, zipitie njia zipi au ni NON REFUNDABLE?
  6. edger jairos

    Hivi ukipenda ni lazima unyanyasike?

    Ivi KUNA NAMNA YA KURUDISHIWA MAHARI MARA BAADA YA KUONA UNANYANYASHWA?
  7. edger jairos

    Naomba master cylinder 4wheel noah old

    Habar! Ni Muster cylinder ya breck ya 1)NOAH old model 4wheel 2)Model number SR50 3) Engine number 3S0059590. 4)Engine capacity 1990 Naitaka kujua original na bei zake 748001009
  8. edger jairos

    Naomba nisaidiwe tatizo hili la voice Note za WhatsApp

    Jama habarini My watsap voice note zina voice kama vikatuni au makolokocho hivi. Naomba kuelekezwa Namna ya kuset njia Zote ili iludi kama mtu anavoongeakawaida.
  9. edger jairos

    Nauliza Battery ya gari

    Hayo ya machina sijui mjapan Kuna anaeyafaham
  10. edger jairos

    Nauliza Battery ya gari

    Naona nimeambiw pia kun Betri nzur zaid ya exide,180...
  11. edger jairos

    Nauliza Battery ya gari

    Nipo dar sijui wapo sehem gan
  12. edger jairos

    Nauliza Battery ya gari

    Exide naina inasifiwa sana bei ikoje???
Back
Top Bottom