Recent content by Edger Ezekiel

  1. Edger Ezekiel

    Kuna utapeli wa mtandaoni unautumia jina la UNICEF

    Jamii naomba tusaidiane kuelimisha juu ya utapeli unaofanyika hasa kwa mtandao wa facebook kwa kutumia jina la UNICEF. Utapeli huu sasa umekithiri na watu wengi sana wanaendelea kuumia juu ya utapeli unaofanyika na kikundi kinachotumia jina la UNICEF na kudai kuwa wanatoa msaada wa fedha mara...
  2. Edger Ezekiel

    DOKEZO Kuna Walimu wa Shule ya Sekondari wanaharibu maisha ya Wanafunzi wa kike Kilwa (Lindi)

    Serikali lazima ijipambanue juu ya kuwawajibisha watumishi wanaoenda kinyume na matakwa na watumishi kama hawa walimu wanaoanzisha mahusiano na wanafunzi wao wawajibishwe na kukemewa vikali sana pia maonyo makali yatolewe kwa watumishi wanaovunja taratibu za serikali.
  3. Edger Ezekiel

    Ni ahadi zipi zilitolewa na kiongozi wako ambazo hazijatekelezwa mpaka sasa?

    Kwa sasa watanzania tunatakiwa kupima sana kauli za wagombea wetu, tusiwape dhamana wagombea watakao onesha kutoa ahadi ambazo uhalisia wa utekelezaji wake ni mgumu sana gombea wa namna hii maranyingi wanakuja na sera kwaajili tu ya kuwateka wananchi ili wapate kura na wengi wao hutumia sana...
  4. Edger Ezekiel

    Ni ahadi zipi zilitolewa na kiongozi wako ambazo hazijatekelezwa mpaka sasa?

    Ahadi ya kusambaza umeme kila kijiji jimboni ila ilishindwa kutekelezeka ikiwa mbunge wetu alipewa dhamana ya kuwa waziri wa nishati na madini kwa muda wa miaka isiyopungua 4 hii inawaumiza sana wananchi na hawamuamini tena huyu jamaa kama ni kiongozi bora
  5. Edger Ezekiel

    Wanawake zaidi ya 100 wahukumiwa kwa kutuma watoto wakawe ombaomba

    Hatua hii ni nzuri sana katika kunusuru wimbi la omba omba hasa maeneo ya mjini, nadhani ikifanyiwa utekelezaji katika nchi yetu Tanzania itasaidia kuibua na kuwakamata baadhi ya wazazi wanao kiuka sheria ya ulinzi wa mtoto, pia wanaowanyanyasa watoto kwa kukwepa majukumu yao kama wazazi.
  6. Edger Ezekiel

    KWELI Kufanya mapenzi wakati wa ujauzito Kunaweza kuongeza kwa kiasi kidogo kichocheo cha kuanzisha uchungu ikiwa siku za kujifungua zimefika

    Japo sina experience ila kwa uelewa nafahamu kufanya mapenzi wakati wa ujauzito inasaidia kupanua sehemu ya uke wa mwanamke hii inaweka urahisi zaidi wakati wa kujifungua pia inaepusha kujifungua kwa njia ya upasuaji kwa mwanamke mwenye uzazi wa kwanza.
  7. Edger Ezekiel

    Ulitumia mbinu gani kukabiliana na jambo gumu la kukukatisha tamaa mpaka ukalishinda?

    Jambo la kwanza ni kumuamini Mungu na kujiamini kuwa utashinda katika kila hatua kupitia yeye, pambana kuhakikisha unashinda yale yote magumu yaliyo mbele yako kwa sababu dawa ya tatizo ni kukabiliana nalo.
  8. Edger Ezekiel

    Nipo ugenini, wanapika chakula kidogo mno

    Cha msingi unapofika ugenini hakikisha unakuwa na budget ya ziada ili kuweza kumudu baadhi ya mahitaji yako kama issue ya msosi, sisi wasukuma tumezoea kula hadi kusaza sasa ugenini itanipa shida sana jamani.
Back
Top Bottom