Recent content by eddylila

  1. E

    Rais Samia: Watumishi wa Umma wanakosa uzalendo, unateua mtu anakwenda kupiga picha nyaraka za siri na kusambaza

    Tatizo lilianza pale tulipoifanya nasafi ya umakamu wa urais haina mana zaidi ya kuwa msimavi wa mazingira lkn hana kazi yeyote bila kujua inaweza kutokea siku aliye juu yake akapoteza sifa ya kuwa rais wa nchi. sasa ndio tunavuna tulicho panda
  2. E

    Washambuliaji Goal poachers wanazidi kupotea duniani

    mleta mada unachanganya mambo van nestroy na inzagi are more of fox in the box than a poacher yani ni waviziaji poacher ni mshambuliaji ambae ni zaidi ya fox in box yani anaweza kuvizia anaweza kufunga nje ya kumi na nane anaweza anafunga goal ambalo hata utegemei kama angeweza kufunga kama ni...
  3. E

    SI KWELI Video: Anayejiita Superwoman akamatwa na mihadarati nchini Oman

    ni kweli ya muda mrefu na hapo sio oman angalia hao askari oman sizani kama kuna askari wa kike wanao vaa mpaka mabangili mikononi
  4. E

    Anataka kuwahamishia watoto wake olympio. Walikua shule ya private. Anauliza apange nyumba sehemu gani ili iwe rahisi kwa watoto wake kwenda shule

    Sijui kwann umefikilia kuwahamishia watoto wako olympio mimi ni mkazi wa upanga kijana wangu shule ya awali alisoma daniel mihan ni shule ya masista ipo karibu na muhimbili darasa la kwanza nikampeleka hapo olympio kwa kweli alirudi nyuma sana kitaaluma mpaka ikabidi nimtoe hapo fikiria wakati...
  5. E

    Kilichomharibia VUNJABEI ni hiki hapa

    Maduka yake ya nguo kutokufanya vizuri sioni kama na ishara ya kufilisika anaweza kuwa ameamua kuwezekeza kwenye biashara nyingine baada ya kukua mleta mada kamtaja GSM kama mfano kama anamjua vizuri Gharib alikua na duka la vitenge na mashuka pale mnazi mmoja enzi izo lkn sasa ivi hafanya tena...
  6. E

    Mwabukusi asipotumia taaluma yake vyema, hekima na busara kuongoza TLS atavurunda zaidi ya ilivyokuwa kwa Tundu Lissu na Fatma Karume

    Unapona sema Lissu na Fatma walivurunda bila ya kusema nani alifanya vizuri na wakati wa uongozi wake TLS ilikua bora sana, unafanya hoja yako kuwa ya kichawa ungetoa mfano wakati wa kiongozi huyu TLS ilifanya haya na haya kwa maslahi haya ya taifa hapo ungekuwa umemsaidia hata huyo kiongozi wa...
  7. E

    Sababu za msingi zinazopelekea 'afande' wa ulawiti asikamatwe ni hizi?

    unasifiana ujinga kwa kujiona wajuaji kumbe vilaza tu, kula njama ni kosa kisheria usichojua au kwa makusudi hutaki kujua ni kuwa si kila anaye shitakiwa mahakani atatiwa hatiani zombe na mke wa msuya hawakutiwa hatiani kwa kukosekana ushahidi usitia shaka juu ya uhusika wao kwenye makosa...
  8. E

    Utapeli wa ‘hiyo pesa tuma kwenye namba hii’ umeshika kasi, nimegundua mbinu ya kuwazuia, napendekeza haya yafanyike kuwakomesha

    sijakuelewa mleta mada hasa kwenye point yako ya kwanza, yani unataka kutatua tatizo kwa kuongeza tatizo lingine kubwa zaidi? ivi ni watanzania wangapi wapo huko vijijini au hata mjini ambao ndio wahanga wakubwa wa hawa matapeli wana uwezo wa kuripoti tcra wakipata izi msg? sasa wewe mtu yupo...
  9. E

    Benki za kwenye simu ni zaidi ya Benki Kuu!

    We jamaa mbona kichwa ngumu sana ukikopa shongesha pesa inatoka kwao inaingia kwenye namba yako uwe tigopesa mpesa airtelmoney au halopesa wewe uliyokopa ndio unaenda kutoa kwa wakala pesa ambayo ipo tayari kwenye simu yako ni logic simple tu mimi siwezi kukutumia hela wewe ambayo sina kwenye...
  10. E

    Sumbawanga: Disko zipigwe Marufuku mashuleni

    kuna watu mna mawazo mgando sana sasa hapo kuna shida gani? mimi nimesoma a level songea boy 90's haya mambo tulikua yanafanyika wanakuja wanafunzi wa songea girls mnacheza nao disco next sisi tunaenda shuleni kwao wala hakukua na shida sometime tuwaache wanetu nao wapate burudani
  11. E

    Erick Mwijage alimwambia Djigui Diarra upande atakaopiga penati katika mchezo wa Yanga na Kagera sugar jana

    kaka nimeanaglia zaidi ya mara tano mpaka sasa na hakuna sehemu inayo onyesha kama wanaongea sijui kama wewe una angalia kwa angle tofauti na picha za marudio nazo angalia mimi wakati diarra anakwenda kwenye mpira mwijage akauwahi ili diarra asiuguse nakuushika mkononi kisha akagekua kwa...
  12. E

    Erick Mwijage alimwambia Djigui Diarra upande atakaopiga penati katika mchezo wa Yanga na Kagera sugar jana

    kwa kuwa wakati huo kulikua hakuna picha za video ningekupa ushahidi wa mechi ya simba na kagera wakati nazani walikua wanaitwa rtc kagera kagera walipata penati ambayo ilikua inapigwa na mkama ntare ilikua mkana akiweka mpira ili apige mwameja anakuja kuugusa mkana nae anaweka tena vzuri mpaka...
  13. E

    Erick Mwijage alimwambia Djigui Diarra upande atakaopiga penati katika mchezo wa Yanga na Kagera sugar jana

    Nadhani wewe sio mfatiliaji wa mpira wa miguu alichokifanya diarra ni kitu cha kawaida sana inapotokea penati zile ni mbinu za makipa kumtoa mpigaji mchezoni kwa wale wazamani kidogo watakumbuka hata mwameja alikua anatumia sana hii mbinu na katika miaka ya hapa karibuni kaseja nae alikua...
  14. E

    Rais Samia akipokea Kombe la Dunia, Ikulu, Dar es Salaam Mei 31, 2022

    Hili sio feki mleta mada ni kilaza anajifanya anajua wakati hajui lolote kuna mtu humu kaleta majibu sahihi kuhusu hii zira ya kombe la dunia nashangaa bado mnaendelea kung'ang'ania kuwa kombe ni feki...
Back
Top Bottom