Nashukru sana Mwl kwani mzigo wangu wangu umefika salama.Mwanzoni nilikuwa na wasiwasi kama kweli ingewezekana hasa ukizingatia kufanya biashara na mtu usiyemjua.Ongera sana kwa huduma na uaminifu na bila shaka tutafanya biashara zaidi.
Mimi nimefanikiwa kuipata Amos 5 na Eutelsat 7e.Sasa kazi ni kuipata Astra 2f.Nimeangaika vya kutosha.Niko mbeya na ninatumia dish futi 6 pamoja na Ku ya kawaid.Ebu wakuu nipe mbinu
Nimefunga continental na receiver yake aina ya CDM03.Natamani sana kuongeza sat ya Astra hapo hapo kwa continental,vipi wadau wa fta chaneli zitaingia kwenye hii receiver?
Hilo tatizo nimekutana nalo baada ya kuanza kutumia laini yao.Nahisi kuna tatizo katika laini zao.kuna kiprogram kinahitwa GPSD kinafyonza betri ni balaa
Uttorent kwenye simu za android haidownload files zenye ukubwa wa 4GB.Nimejaribu mara nyingi lakini wapi.Ikifika asilimia 98 inasema file not found.Mwenye ufahamu tufahamishane.
Mkuu,kuna movie moja ina ikubwa wa 4.4GB.ikikamilika mara bittorrent inaniambia "File not found restart your torrent to resume downloads".Nimejaribu mara nyingi lakini tatizo liko palepale...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.