Hivi upelelezi wa ile ajali hadi sasa wametoa neno ya kuwa ili sababishwa na nini?
Maana labda kuna kitu tunaweza kujitunza ili tuwe makini tunapo kuwa barabarani.
Ikumbukwe baada ya Hans Pop kuwashutumu baadhi ya wachezaji kucheza chini ya kiwango Mo alisema hakuna kiongozi yeyote atakae ruhusiwa kuingelea Simba bila kupata ruhusa yake.
Je, yaliomo yamo,na hili limo Mohammed? Kama hajamtuma basi awajibishewe.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.