eddy brown
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 414
- 310
Hivi kuna kitu kimemsibu Mo na viongozi wa juu wa Simba kutohudhuria harusi ya Manara?kuhusu zawadi je?

Kanjibhai wenzake waliona isiwe tabu. Wakampa ukweli.Nafikiri alikua busy akiyamaliza na ubalozi wa India....
Ina maana CEO wa Simba na mizawadi aliyotoa hukumuona au umesimuliwa wakati mnakuna nazi na videla vyenu vya GSM?Hivi kuna kitu kimemsibu Mo na viongozi wa juu wa Simba kutohudhuria harusi ya Manara?kuhusu zawadi je?
Manyani wa Utopolo mnachoweza ni hiki tuView attachment 1649422View attachment 1649424View attachment 1649425
please be a man...heshimu utu mpira sio UaduiManyani wa Utopolo mnachoweza ni hiki tuView attachment 1649422View attachment 1649424View attachment 1649425
Mpe darasa huyoplease be a man...heshimu utu mpira sio Uadui
..Hii angeisema Mzungu wooye mngepiga mayowe...Huu unaofanya ni ushamba
Hujui Utopolo mnatuitaje sisi Simba? Vumilia, mkianza kutukana mvumilie majibu yanayulingana au kuzidi matusi yenu. Kula limao utulize munkari,huu mchezo hauhitaji hasira dada Somoeplease be a man...heshimu utu mpira sio Uadui
..Hii angeisema Mzungu woote mngepiga mayowe ya ubaguzi...Huu unaofanya ni ushamba..kuipenda Simba au Yanga haina maana utukane.
Mnavyotuita mikia mnafikiri sisi tutakosa jibu mujarabu kwenu? Vumilieni dawa iwaingie freshMpe darasa huyo
Kuna kila sababu ya kurudisha elim ya UPEMnavyotuita mikia mnafikiri sisi tutakosa jibu mujarabu kwenu? Vumilieni dawa iwaingie freshView attachment 1649646View attachment 1649647View attachment 1649648
please be a man...heshimu utu mpira sio Uadui
..Hii angeisema Mzungu woote mngepiga mayowe ya ubaguzi...Huu unaofanya ni ushamba..kuipenda Simba au Yanga haina maana utukane.
Mie pia nilishangaa sanaHivi kuna kitu kimemsibu Mo na viongozi wa juu wa Simba kutohudhuria harusi ya Manara?kuhusu zawadi je?