Upo sahihi kabisa, na hali hiyo inachingiwa na umaskini, wivu, chuki zisizo na msingi na mawazo hasi kwa mda wote...Hatutakiani mema hata siku moja, don't trust any one.
Msiwage mnakurupuka katik akuandika, na msiandike tu kufurahisha genge, mbona mwamuwekea maneno mdomoni mh. Raisi? Yeye raisi katanguliza neno kwamba hao maafisa wa benki wachunguzwe na wakikutwa mawehusika kwenye njama za account fake ndio wachukuliwe hatua, na HAKUSEMA kwamba hao maofisa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.