Complex
JF-Expert Member
- Mar 20, 2013
- 4,113
- 4,741
- Thread starter
- #21
Exact mkuu. Hakuna ambaye aliuepuka huo mkono wa munguImenikumbusha ASSASINER mmoja kwenye BIBLIA, kitabu cha "WAAMUZI 3:12-26" anaiwa EHUDI. Dah! Mbinu aliyotumia kumuua Mfalme Egloni ni hatari ...
Hawa jamaa wana kipaji hicho tangu enzi hizo.
Hii operation ya kulipa kisasi cha Munich inajulikana kama "WRATH OF GOD."
Anyways, nisimalize uhondo; Nasubiria umalizie namna walivyolipa kisasi ...