Recent content by eddiecudo

  1. E

    JamiiForums Tanzania Azamtv mnakwama wapi?

    Inasikitisha sana kupiga promo kubwa sana la visimbuzi vya antena afu mbaya zaid mmefunga minara baadhi tu ya maeneo. Haya mnatuambia dar vinapatikana ila ukija bunju na boko hakuna mnara na visimbuzi iv havifanyi kazi.
  2. E

    JamiiForums Tanzania Msaada: Azam antena inasumbua SIGNAL

    Unaishi sehemu gani?
  3. E

    JamiiForums Tanzania Raha, Tamu na chungu ya VPN

    Shukran bro. Napeta tu hapa
  4. E

    JamiiForums Tanzania Raha, Tamu na chungu ya VPN

    Kwani ili suala litadumu au, maana wengine vpn inagoma
  5. E

    JamiiForums Tanzania Msaada ndugu zangu

    Sawa sawa ngoja nifanye ivo
  6. E

    JamiiForums Tanzania Msaada ndugu zangu

    Nashukuru ndugu ntafanya ivo kesho mapema kabisa
  7. E

    JamiiForums Tanzania Msaada ndugu zangu

    Nimetokwa vipele hivi sijui shida nini maana kama tetekuwanga nilishawahu kuugua nikiwa mdogo na kama wasemavyo tetekuwanga hairudi mara mbili. Haviumi ila vikitumbuka vinawasha.
  8. E

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Da wanapoelekea tutawaikimbia sasa
  9. E

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Jaman awa betpawa ni mimi peke angu ndo siwapat au kotekote?
  10. E

    JamiiForums Tanzania Iphone 7 plus inauzwa... gb 32 laki 8 tu

    Mkuu kipi kingine unachotaka?
  11. E

    JamiiForums Tanzania Iphone 7 plus inauzwa... gb 32 laki 8 tu

    Iphone 7 plus Rose Gold Gb 32 Nichek 0757321230
  12. E

    JamiiForums Tanzania Iphone 7 plus inauzwa... gb 32 laki 8 tu

  13. E

    JamiiForums Tanzania MREJESHO: Nimeendesha Uber na Taxify kwa gari yangu ndani ya miezi mitatu

    Hahahahaha mwenyewe nimeshangaa 🤣🤣 Sent from my iPhone using JamiiForums
Back
Top Bottom