Nashukuru ndugu ntafanya ivo kesho mapema kabisaUnaweza kuwa ni mmoja wa watu tetekuwanga ikakurudia.
Wahi kituo cha afya kilicho karibu.
Sawa sawa ngoja nifanye ivonenda hospital
😂😂Polesana mkuu....
Lamsingi, anza kula vizuri, pumzisha mwili wako, fanya mazowezi na ukule mashudu kwa wakati.....
Naomba niishie hapa mkuu, maana inasikitisha sana....
Avumilie tu, maana yeye sio wakwanza...[emoji41][emoji41]Apo kwenye Mashudi sasa [emoji3553][emoji3553][emoji24][emoji24][emoji24]
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app