Azamtv mnakwama wapi?

Azamtv mnakwama wapi?

eddiecudo

Member
Joined
May 8, 2013
Posts
13
Reaction score
8
Inasikitisha sana kupiga promo kubwa sana la visimbuzi vya antena afu mbaya zaid mmefunga minara baadhi tu ya maeneo. Haya mnatuambia dar vinapatikana ila ukija bunju na boko hakuna mnara na visimbuzi iv havifanyi kazi.
 
Back
Top Bottom