Kama kweli tunataka kusema ukweli, na kwa mtaalamu yeyote wa mejengo, lkn zaidi kwa mtu aliefanikiwa kuona "Interior design" ya hostel za UDSM huwezi sema hivyo hata kidogo. Nimefika udom several times, ujenzi wa Hostel za udom pamoja na majengo megine yalikua chini ya kiwango kwa asilimia kubwa...
Nunua hiyo hiyo gari you will never regret! hasa kama unapenda performance nzuri na stability... Usisikilize maneno ya wanaosimuliwa listen to someone driving it. Mimi nilikuwa napenda Subaru toka kitambo na nilikuwa naielewa kuwa ni gari nzrui na inakimbia lakini baada ya kuimiliki na kuendesha...
Inategemea ni ya mwaka gani kama ni Forester ya mwaka 2005 kwa sasa ushuru pekeyake ni karibu 9m na CIF kutegemeana na mileage inachenza kati ya $3500 mpaka $4500 so kupata Forester nzuri kwa sasa uwe na atleast 16.5m to 18m kwa Second Generation za mwaka 2005 - 2007 ila za chini ya 2005 unaweza...
Evo ipo vizuri sana! tatizo la mitsubishi wametengeneza gari nzuri ya sports (sedan) lakani ukurudi kwenye gari za kutumia kawaida SUV for instance hawana gari nzuri. huwezi zikuta mtaani watu wanazo mitsubishi zinafanya vizuri. ni kwenye mashindano tu.
Madereva wengi tu wa VX V8 wenyewe wanajua shughuli ya Subaru barabarani huko. Subaru is more than a car, huwezi fananisha boxer engine na inline engines.
Habari wana Jamvi,
Najua kuna post zilizopita kuhusu soka la vitunguu maji, lakini baada ya kupitia nimeona the latest ni 2014. Ninaomba kujua kama mtu yeyote anafahamu soko bora la vitunguu kwa mwezi December 2015 iwe ni ndani au nje ya nchi. Vitunguu ni aina ya Hybrid (Jambar F1) vinapatikana...
Biashara ya mahindi kwa sasa inalipa sana, tofauti na miaka mingine miezi hii hua inashuka lkn mwaka huu haijashuka, Njombe bei ya mahindi kwa Debe ni TZS 5000 dodo ni zaidi ya 8000. Pia jaribu kucheck ni biashara ya viazi so far kwa Dar inafika 75,000 kwa gunia la kilo 100 na Mtwara 96,000 kwa...
I am driving 2005 Subaru Forester it is the best compared to Rav4... ina 177hp wakati Rav4 haizidi hata 160hp. Ina balanced 4WD sehemu ambayo gari nyingine yoyote inaweza tereza kwenye matope Subaru inapita inaweza sense tairi ipi inatereza na kuhamishia power kwenye tairi nyingine. In addition...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.