What do u mean by being serious bro, iam so serious if anybody interested in please E-mail me but u have to be serious, iam not joking brother, but iam looking for some training center tht can employ me like Amana training center and some of big ones like British counsel in posta, I love the job...
Iam now living and working in HongKong but iam tired of living and working abroad nataka nirudi home nitulie any jobs please E-mail me, 739149478@qq.com
Tatizo sometimes ni clients then watanzania tumeshakua na akili kuwa all Chinese products ni fake na hawaamini Chinese products lkn sio hivyo kwn mchina ni mfanya bznz mkubwa ulimwenguni huwa anatengeneza bidhaa kutokana na uwezo wa mteja kununua mchina ni mtu wa kutafuta soko ili auze bznz zake...
Kwanini sio China dada? Tatizo watu tunaoishi bongo tunadanganyika kuwa kitu kikitoka china ni fake au low quality kumbe we r definitely wrong, china unapata bidhaa kutoka na pesa ulionayo, mchina anatengeneza kitu kuangalia uwezo wa pesa ya mtu, me ninaishi China dada ndio maana nakuambia...
Waungwana me ninaishi na kufanyakazi China, lakini bado nataka kujishughulisha na business huko bongo, hivi ni business gani inalipa huko? Tatizo sijajua kama kuna business gani naweza kufanya, kama nikifanya na ikiwa na mafanikio basi nitakua naleta hata mzigo mkubwa tatizo sina idea ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.