"Maana ya Jina la Kichaga 'Monoruwa' – Msaada Tafadhali!"
"Habari zenu wana jamii!
Nina swali kuhusu jina la Kichaga 'Monoruwa'. Naomba mwenye ujuzi wa lugha ya Kichaga au historia ya majina ya Wachagga anisaidie kunielezea maana yake.
Samahani wakuu kama ww ni Mtanzania unayeishi hapa hapa tz unawezaje kucheza lotto online ya nchi za nje kama USA, Australia,UK ?
Sent from my Pixel 3 XL using JamiiForums mobile app
Ezekieli 18:19-20
Lakini ninyi mwasema, “Kwa nini mwana asiteseke kwa ajili ya uovu wa baba yake?” Mtoto atakapofanya yaliyo halali na haki, na kuzishika amri zangu zote, hakika ataishi. Mtu atendaye dhambi atakufa. Mtoto hatauchukua uovu wa mzazi wake, wala mzazi hatauchukua uovu wa mtoto wake...
Hata ufanye mambo mema kiasi gani siku dark side Yako ikiumbuka you are over mchizi legacy yake ndio Ina decline hivyo
Sent from my Pixel 3 XL using JamiiForums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.