Recent content by Ecoutez moi ça

  1. E

    Unajua lugha gani? Nini ni ya kuvutia kuhusu lugha hizi?

    je parle 1. francais, 2. Anglais, 3. Swahili, 4. Deutsch, 5. Sukuma etc I speak 1. French, 2. English 3. Swahili, 4. German, 5. kisukuma etc Naongea 1. kifaransa, 2. Kiingereza, 3. kiswahili, 5. kisukuma Ich sprache 1. Französisch, 2. Englisch, 3. Swahili, 4. Deutsch, 5. schon wieder, wie...
  2. E

    RASIMU ya Katiba Mpya Tanzania yazinduliwa

    Hapa hizi mihimili mitatu bado zinaingiliana, haiwezekani Jaji mkuu ateuliwe na Rais, wakati ni kiongozi wa muhimili unaojitegemea.
  3. E

    Namtafuta Upendo Mbogo

    Hapana, huyo atakuwa mwingine. Huyu ni kijana wa maeneo ya Geita, Siwema atakuwa anakumbuka vizuri maake alishawahi kukaa huko pindi akiwa Primary!!!!!!!!!!!!!!!!
  4. E

    Press Release: CCM yakanusha uvumi wa Kikwete kuruhusu wagombea kuanza kampeni!

    Hii kali, sasa mmekuja na GIA ya kutekeleza AHADI zenu kwa KIWANGO KIKUBWA!!!!!!!!!!!?????????.
  5. E

    Namtafuta Upendo Mbogo

    Mmmmmmmh, na mm namtafuta SIWEMA MAJULA, hopefully atakuwa kanda ya ziwa (Mwanza .................). Kama yumo humu au kama kuna anayemfahamu ani PM
  6. E

    Wakufunzi mashetani Elimu ya juu Tanzania

    Katika kutoa point zako, ni vema ukawa more specific na usipende kuongea kwa ujumla. Toa mifano hata kwa kutaja chuo/kitivo au hata lecturer ambaye wewe unamfahamu kuwa anajihusisha na masuala hayo. Kwa jinsi ulivyoandika ni vigumu hata kwa yule ambaye anahusika kuweza kufuatilia na kutatua...
  7. E

    Unahitaji mume!!!

    Got you
  8. E

    Unahitaji mume!!!

    I'm aware of this but I have personal intention on it.
  9. E

    Unahitaji mume!!!

    ça, ce n'est pas français!!!!. Il faut apprendre à nouveau surtout la conjugaison. J'ai mis mon annonce en swahili et je crois que tu comprends et parles très bien cette langue la. Qu'est-ce que t'as pas compris ou tu veux que j'exprime en français or d'autre langue. S'il te plait, si tu veux...
  10. E

    Unahitaji mume!!!

    Salut!!!, tout va bien!!!?. Soyez le bienvenue
  11. E

    CCM yalaani vikali kuteswa kwa Kibanda

    Hizo nguvu zote ni zipi na sheria inachukua mkondo wake kwa akina mm ili liwe fundisho kwa wengine, where's Ighondu!!!!!!!!!
  12. E

    Polisi wamsaka mbunge CHADEMA kwa kufunga ofisi

    Hawa jamaa siwangewasiliana nae akaenda mwenyewe!!!
  13. E

    Unahitaji mume!!!

    Mi nikijana 34 yrs videgree 2, permanent good job. Najitokeza nikiamini kuwa ni njia mojawapo inayofaa kumpata mwenza. Je ww ni msichana 26-32 yrs, una degree, kazi, atleast 170 cm, hauna mtoto na unahitaji mume tuma PM
Back
Top Bottom