Ni Mayai ya kienyeji kabisa na yenye ubora Wa hali ya juu ,njoo ujipatie au weka order yako bei ni tsh. 500 kwa kila yai moja ,ukihitaji utaletewa mpaka mlangoni ,, TUNAPO SEMA NI MAYAI YA KIENYEJI TUNA MAANISHA HASWAA!
Ni ngumu kufanikisha kama mnatoka location tofauti ,, labda kama wote mpo eneo moja yaani wewe upo DAR mwingine kigoma afu unataka muunde kikundi au mkutane kwa kikao itawezekanaje!
Nchi hii inapesa kuliko unavyo fikiria! Shuggulisha bongo ,kama huishi Tanzania nyamaza sio kuropoka tuu nchi hii inautajiri mkubwa sana na pesa nyingi sana zinapotea kwa ujinga Wa matumizi hewa!
Tatizo lako kubwa sana ni kada Wa ccm ,haijalishi utakataa au kukubali huu ndo ukweli ,SMS yako hii inaonesha wazi yani wewe hata magu amchinje jirani yako au mwanao still utakuja na vipoint dhaifu kumtetea? Kwamba wewe unaakili sana kuliko watu Wa mjengoni OK inawezekana ila si kwamba wanaotoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.