Natafuta mabelo ya nguo na viatu vya mtumba

araway

JF-Expert Member
Sep 26, 2007
534
144
Nataka kuuza mabelo ya mtumba kwa jumla .wapi ntapata mzigo wa jumla namimi niweze kuuza jumla. Naomba mwenye taatifa ya bei za jumla nguo nziro zisizo chakachuliwa Na mtaji kiasi gani unaitajika.nipo simiyu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom