Recent content by Ebwanandio

  1. Ebwanandio

    Naomba muongozo, niandae kiasi gani mpaka kuipata hii gari mkononi?

    Usinunue gari bana kwanza uko wapi twende tukanywe bia tu hiyo hela. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Ebwanandio

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Dah nna mikasa kadhaa ya dizaini hii, sasa sijui nisimulie ipi. Nisimulie rafiki wa mdogoangu wa kike aliekuja kumwona mdogoangu mgonjwa, huyu nlimla kwa kumlaza kwenye simenti wazazi wakiwa sebuleni. Au nisimulie ya mtoto wa jiran niliemla kiutani akaniongezea list kwenye faili la niliowakuta...
  3. Ebwanandio

    Twin turbo zinafungukaje

    Hata mm napenda ya ivo, km vile kwenye muvi za fast and furious inavyokuwa, kitu km rocket nshaaaa ghafla.
  4. Ebwanandio

    Subaru Fans Special Thread

    Anaejua kama kuna grupu la wasap la subaru tanzania aweke link.
  5. Ebwanandio

    Boyfriend wangu ni mchafu sana

    Huyo boy wako hatupishani na mimi, mi ni mchafu pengine hata kumzidi na niko hivyo lakini nina wadada watatu wote wanapigana vikumbo wakitaka niishi nao. Kipindi niko ghetto choo kiko mbali nlikuwa na tabia nanunua mapombe nanywea ghetto nakojoa kwenye chupa za maji naweka uvunguni kipindi hiko...
  6. Ebwanandio

    Kupaka Rangi Gari Zima

    Walikuchaji kiasi gan mkuu
  7. Ebwanandio

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Tairi yenye herufi W (ambayo inawakilisha uwezo wa speed wa tairi) mwisho wa speed ni ngapi? Tairi iko hivi 215/50/R17 90W
  8. Ebwanandio

    Msaada wa hii alama kwenye gari yangu

    Hiyo ni alama ya kuonesha usetivu wa taa kubwa (headlights) kuwa zimulike chini au mbele kutokana na ulivyoseti, sasa hiyo taa kuwaka kwenye dashboard sijui kunamaanisha nini. Na kwakuwa imewaka kwa unjano basi litakuwa ni onyo, muone fundi wa umeme wa magari. Hicho kwangu ndo kisetizi yan cha...
  9. Ebwanandio

    Twin turbo zinafungukaje

    Nini kazi ya BOV (Blow Off Valves)
  10. Ebwanandio

    Je kuna uhusiano wowote wa ac ya gari na ilaji wa mafuta?

    Kumbe...hata mimi subaru nikiweka mafuta ya elfu 10 natembea kilometa 40 bila Ac.
  11. Ebwanandio

    Kama yakikukuta umefumaniwa na Mke wa Mtu ni Adhabu kati ya hizi utachagua ili kuyamaliza Kibingwa tu?

    Napenda sana porn ya staili hiyo so nachagua namba 5 ili niendelee kuinjoi...just kidding. Kiukweli nachagua namba 9, hawaniui na hawanifanyi chochote sababu huwa sitembeagi na wake za watu.
  12. Ebwanandio

    Subaru mnatufilisi, Gari zinakunywa mafuta kama zinameza!

    Kwaiyo uwezo wa forester cross sport ni uleule wa forester STI? Maana haya matoleo matatu yananchanganya na sielewi ipi konki kati ya forester XT, forester cross sport na forester STI japo kwa bei hizo STI ziko juu sana kuliko hizo nyingine.
Back
Top Bottom