Msaada wa hii alama kwenye gari yangu

36 Headlight range control. Ni sensor ya taa za full light. Tafuta fundi umeme wa gari.
 
Hiyo ni alama ya kuonesha usetivu wa taa kubwa (headlights) kuwa zimulike chini au mbele kutokana na ulivyoseti, sasa hiyo taa kuwaka kwenye dashboard sijui kunamaanisha nini. Na kwakuwa imewaka kwa unjano basi litakuwa ni onyo, muone fundi wa umeme wa magari.

Hicho kwangu ndo kisetizi yan cha kusetia hapo kipo kwenye sifuri maanake taa imulike mbele lakini nikiset hadi kwenye tano taa inamulika chini yan karibu kabisa na gari.
1569666956584.jpeg
 
Hiyo ni alama ya kuonesha usetivu wa taa kubwa (headlights) kuwa zimulike chini au mbele kutokana na ulivyoseti, sasa hiyo taa kuwaka kwenye dashboard sijui kunamaanisha nini. Na kwakuwa imewaka kwa unjano basi litakuwa ni onyo, muone fundi wa umeme wa magari.

Hicho kwangu ndo kisetizi yan cha kusetia hapo kipo kwenye sifuri maanake taa imulike mbele lakini nikiset hadi kwenye tano taa inamulika chini yan karibu kabisa na gari.View attachment 1217960
Exactly, Asante. Nashukuru kwa maelezo yenye mfano mirua, wacha nimuone fundi
 
Asante mkuu, ni kweli gari ni harrier, hii inaweza kuwa assumption sahihi. Wacha niifanyie kazi
Ifanyie kazi,tafuta mafundi wazuri wa Umeme,wapo wanaojua.
Ukimaliza ukapata ufumbuzi,tunaomba utoe mrejesho. Inafanana kabisa na Namba 36 iliyoko kwenye list ya alama hapo juu,lakini kwa upande wa Harrier,ni balance ya matege ya tairi za nyuma(wanasema ni camber balanve sensor and its affiliates)
 
Asante japo hii ipo kwenye mshale mafuta na sio kwenye odo-meter ya mshale wa speed. Huku inakotakiwa kuonekana taa full or deem iko sawa. Ukiangalia hii alama ni tofauti na ya taa zikiwa full, hii ina arrows mbili ya juu na nyingine ikielekea chini
mkuu gari yako sio mbovu wala hakuna kitu cha kupeleka kwa fundi hapo,,,hakuna cha sensor wala nn,,,endelea kutamba mjini mkuu,,hilo sio tatizo bali hiyo inakuonyesha mahali yaa zako zinapomulika,,kuna sehem hapo krb na funguo kwny dashboard pana kitu km ki switch either cha kubonyeza au cha kuzungusha kuna alama km hiyo ulioionyesha,,hicho ki switch kinakuruhusu kupandisha taa zako ziweze kumulika mbali zaidi au kuzishusha chini zimulike karibu sana,,,,kuna wakati ukiwa safarini usuku kutokana na spid kubwa uliyonayo hata ukiwasha full lights bado unakona huoni mbali kutikana na mwendo wa kasi ulionao,,basi hichi ki switch kinakuruhusu kupandisha taa zako juu kidogo ili uweze kumulika mbali zaidi ila sio kumulika angani na ndo maana ukaona umeonyeshwa vimshale vidogo hapo kimoja kimeangalia juu na kingine chini,,,,hiyo sio taa ya fog light,,,fog light haina hivyo vimshale,,,,ni kumulika mbali,,,,chuma yako ni nzima na usipeleke kwa fundi yeyote
 
Mimi nnahisi ina indicate fog light...ya full huwa ni bluu default colour
Asante japo hii ipo kwenye mshale mafuta na sio kwenye odo-meter ya mshale wa speed. Huku inakotakiwa kuonekana taa full or deem iko sawa. Ukiangalia hii alama ni tofauti na ya taa zikiwa full, hii ina arrows mbili ya juu na nyingine ikielekea chini
 
achana na habari ya fundi mangi,,,gari yako ni nzima hadi inakera,,,hakuna kitu cha kuleta fundi hapo
 
Hiyo inaitwa "adaptive light dystem".

Huna haja ya kupeleka kwa fundi. Ni nzima hiyo inakuonesha inafanya kazi.

Tumia Google utapata majibu.
dada angu Amani iwe kwako,,,umesema sahihi kabisa,,,watu hawaielewi hii kitu wanajiongelea tu
 
Naam mkuu, umeipatia vizuri. Hii no. 36 ndio iko kwangu
huna haja ya kutafuta fundi mkuu,,,mafundi wenyewe hawa wa dar,,,inaenda kukutoka 100k na utaambiwa kuna sensor imekufa,anagusa gusa mwisho anakuambia asharekebisa ila hiyo taa haina madhara
 
dada angu Amani iwe kwako,,,umesema sahihi kabisa,,,watu hawaielewi hii kitu wanajiongelea tu
Huku ninakoishi gari zote lazima ziwe na taa za mchana kwa hiyo "feature" hii ni standard kwa gari zote za hapa.
 
Back
Top Bottom