Kupaka Rangi Gari Zima

Kupaka Rangi Gari Zima

Kama hii sehemu unayoiongelea ni AutoBot wale wa pale Tazara vingunguti nakushauri waachie gari wafanye kazi!..
Hutojutia kuchangamka kwa bei zao!.
Nilishawahi kuona kazi ya Wachina, ilikuwa vizuri balaa. Japo ni muda sasa umepita. Sina hakika kama hawajalewa sifa na kuanza kuzingua.
Wachina ni nyoko kwa hizo kazi mzee, nilikuwa na Subaru, nilipiga ubavu, kuna wachina wa hapa segerea wanaitwa refton garage, asee chuma ilirudi mang'anyu

Sent using Jamii Forums mobile app
Anachokifanya mchina kuna Watanzania wanakifanya tatizo Mtanzania mwenzako akikwambia gari yako iliyogongwa right off atairudisha kuwa mpya kwa Tsh 1,875,000/= utaanza kumuona kama anakupiga.pia fundi huwa anaogopa kukupa bei hiyo kutokana na anaogopa utamuona mwizi anaona bora akupe bei ndogo ili aunge unge akurudishie gari yako ukafie mbele na wewe unaona ni haki yake ila Mchina haogopi kukupa bei coz ameshatusoma kwanza wabongo hatuaminiani tunawaamini sana wao weupe so lazima utampa kazi.

Zamani kazi yangu ilikuwa kuuza spare used,earlier 2012/16 nilipata shavu la ku-supply baadhi ya vitu kwenye garage moja ya kichina Kijitonyama mimi nilikuwa upande wa body parts jamaa yangu mmoja wa kipemba alikuwa kwenye chassis parts,anachokifanya Mchina hanyooshi bodi au kutengeneza kile kibovu yeye ananunua kama imeumia mudguard au bumper anang'oa anaweka jengine taa,radiator,condenser ikibidi norse cut anaweka nyengine same kwa engine kama imepasua block au ring piston imezungusha anakununulisha nyengine bila wewe kujua akikufungia wewe unatoka pale meno umeyakenua ukijua ni vitu vile vile ametengeneza kumbe ile bei kubwa aliyokulipisha ndo imefanya yote hayo,pia kununua vitu walikuwa wanamuuzia mteja bei kubwa mf:mudguard ya Harrier Old nikiwauzia 180K wao wanamuandikia mteja 350K ona jinsi wanavyopiga ganji kubwa wakati Mbongo angekuruhusu ukanunue unakojua ulete yeye afitishe na kupiga rangi tu but Chinese garage hawakuruhusu ununue hata bolt wao wanachotaka lipa pesa acha gari basi!

Kwenye rangi Mchina kilichokuwa kinambeba ni mashine nzuri za kuchanganyia rangi ambazo sasa hivi hata Watanzania wanazimiliki na hata wapiga rangi kwenye gereji za wachina ni wabongo Mchina anasimama kuchagua namba sahihi ya rangi ya mteja aliyochagua tu,kwa issue ya mdau hapa aende mwenyewe kwenye maduka ya used Ilala pale anunue hizo mudguard bumper na bonnet au milango kama ana access ya kupata mafundi wa Moshi na Arusha akiwapelekea gari itarudi mpya jamaa wanajua sana kung'arisha rangi.

Wachina wengi waliokuwa na magereji makubwa Bongo wameachana na biashara hii wamegeukia biashara za kutengeneza yeboyebo na vyombo kutokana na wale waliokuwa wakiwatumikisha kuwakimbia na kuanzisha karakana zao huku wakinunua zana kama zao na kufanya kazi kwa ubora ule ule huku wakimpa mteja uhuru wa kuamua anunue material mwenyewe au fundi akanunue au muende wote mkanunue hiki kitu Mchina alikuwa haruhusu ila nadhani shilling hii ya Magufuli imetufanya wabongo tuongee lugha moja na kutenda pamoja.
 
Mkuu wapi nitapata site mirrors za corolla sprinter? Bei ikoje?
Anachokifanya mchina kuna Watanzania wanakifanya tatizo Mtanzania mwenzako akikwambia gari yako iliyogongwa right off atairudisha kuwa mpya kwa Tsh 1,875,000/= utaanza kumuona kama anakupiga.pia fundi huwa anaogopa kukupa bei hiyo kutokana na anaogopa utamuona mwizi anaona bora akupe bei ndogo ili aunge unge akurudishie gari yako ukafie mbele na wewe unaona ni haki yake ila Mchina haogopi kukupa bei coz ameshatusoma kwanza wabongo hatuaminiani tunawaamini sana wao weupe so lazima utampa kazi.

Zamani kazi yangu ilikuwa kuuza spare used ila earlier 2012/116 nilipata shavu la ku-supply baadhi ya vitu kwenye garage moja ya kichina Kijitonyama mimi nilikuwa upande wa body parts jamaa yangu mmoja wa kipemba alikuwa kwenye chassis parts,anachokifanya Mchina hanyooshi bodi yeye ananunua kama imeumia mudguards au bumper anang'oa anaweka jengine taa,radiator,condenser ikibidi norse cut anaweka nyengine same kwa engine kama imepasua block au ring piston imezungusha anakununulisha nyengine akikufungia wewe unatoka pale meno umeyakenua ukijua ni vitu vile vile ametengeneza kumbe ile bei kubwa aliyokulipisha ndo imefanya yote hayo,pia kununua vitu walikuwa wanamuuzia mteja bei kubwa mf:mudguard ya Harrier Old nikiwauzia 180K wao wanamuandikia mteja 350K ona jinsi wanavyopiga ganji kubwa wakati Mbongo angekuruhusu ukanunue unakojua ulete yeye afitishe na kupiga rangi tu but Chinese garage hawakuruhusu ununue hata bolt wao wanachotaka lipa pesa acha gari basi!

Kwenye rangi Mchina kilichokuwa kinambeba ni mashine nzuri za kuchanganyia rangi ambazo sasa hivi hata Watanzania wanazimiliki na hata wapiga rangi kwenye gereji za wachina ni wabongo Mchina anasimama kuchagua namba sahihi ya rangi ya mteja aliyochagua tu,kwa issue ya mdau hapa aende mwenyewe kwenye maduka ya used Ilala pale anunue hizo mudguard bumper na bonnet kama ana access ya watu wa Moshi na Arusha akiwapelekea gari itarudi mpya jamaa wanajua sana kung'arisha rangi.
 
Ilala sehemu gani mkuu?
 
Mkuu wapi nitapata site mirrors za corolla sprinter? Bei ikoje?
Hii kazi nimeachana nayo mkuu but kwa kukisia inaweza kufika @ 60,000/=,mwanzo wakati naacha ilikuwa 50K @ tatizo gari za kizamani kadiri siku zinavyosogea vipuri vyake vilikuwa vinapanda bei badala ya kushuka labda kwa siku hizi nilizokaa nje ya mchezo mambo yanaweza kuwa yalibadilika.
 
Anachokifanya mchina kuna Watanzania wanakifanya tatizo Mtanzania mwenzako akikwambia gari yako iliyogongwa right off atairudisha kuwa mpya kwa Tsh 1,875,000/= utaanza kumuona kama anakupiga.pia fundi huwa anaogopa kukupa bei hiyo kutokana na anaogopa utamuona mwizi anaona bora akupe bei ndogo ili aunge unge akurudishie gari yako ukafie mbele na wewe unaona ni haki yake ila Mchina haogopi kukupa bei coz ameshatusoma kwanza wabongo hatuaminiani tunawaamini sana wao weupe so lazima utampa kazi.

Zamani kazi yangu ilikuwa kuuza spare used ila earlier 2012/116 nilipata shavu la ku-supply baadhi ya vitu kwenye garage moja ya kichina Kijitonyama mimi nilikuwa upande wa body parts jamaa yangu mmoja wa kipemba alikuwa kwenye chassis parts,anachokifanya Mchina hanyooshi bodi au kutengeneza kile kibovu yeye ananunua kama imeumia mudguard au bumper anang'oa anaweka jengine taa,radiator,condenser ikibidi norse cut anaweka nyengine same kwa engine kama imepasua block au ring piston imezungusha anakununulisha nyengine bila wewe kujua akikufungia wewe unatoka pale meno umeyakenua ukijua ni vitu vile vile ametengeneza kumbe ile bei kubwa aliyokulipisha ndo imefanya yote hayo,pia kununua vitu walikuwa wanamuuzia mteja bei kubwa mf:mudguard ya Harrier Old nikiwauzia 180K wao wanamuandikia mteja 350K ona jinsi wanavyopiga ganji kubwa wakati Mbongo angekuruhusu ukanunue unakojua ulete yeye afitishe na kupiga rangi tu but Chinese garage hawakuruhusu ununue hata bolt wao wanachotaka lipa pesa acha gari basi!

Kwenye rangi Mchina kilichokuwa kinambeba ni mashine nzuri za kuchanganyia rangi ambazo sasa hivi hata Watanzania wanazimiliki na hata wapiga rangi kwenye gereji za wachina ni wabongo Mchina anasimama kuchagua namba sahihi ya rangi ya mteja aliyochagua tu,kwa issue ya mdau hapa aende mwenyewe kwenye maduka ya used Ilala pale anunue hizo mudguard bumper na bonnet au milango kama ana access ya kupata mafundi wa Moshi na Arusha akiwapelekea gari itarudi mpya jamaa wanajua sana kung'arisha rangi.

Wachina wengi waliokuwa na magereji makubwa Bongo wameachana na biashara hii wamegeukia biashara za kutengeneza yeboyebo na vyombo kutokana na wale waliokuwa wakiwatumikisha kuwakimbia na kuanzisha karakana zao huku wakinunua zana kama zao na kufanya kazi kwa ubora ule ule huku wakimpa mteja uhuru wa kuamua anunue material mwenyewe au fundi akanunue au muende wote mkanunue hiki kitu Mchina alikuwa haruhusu ila nadhani shilling hii ya Magufuli imetufanya wabongo tuongee lugha moja na kutenda pamoja.
Mkuu umeelezea vizuri na kwa kirefu. Kwa kweli nimekuelewa vizuri. Safi saana.
 
Ila yule jamaa ommy_painter wa instagram anajua sana ingawa sijui kama ikipita miaka 3 gari itabaki na ung'aavu ule ule
 
Ila hatujapata recommendation wakuu. Maana siku imefika kupeleka jumatatu.
 
Mtaa wa Lindi na Shaurimoyo mle kote kuna maduka ya used utapata mahitaji yako yote ya spare za gari yako,ukihitaji nitaku-PM # ya dogo mmoja akusaidie shida yako.
Inboxed kaka
 
Ila yule jamaa ommy_painter wa instagram anajua sana ingawa sijui kama ikipita miaka 3 gari itabaki na ung'aavu ule ule
Ommy Painter Ni promo tu..nilimpelekea Gari yangu akaharibu Vibaya ..alirudia rangi Mara mbili na bado kukawa na viraka nikaamua kupeleka kwingine.labda Kama utaamua kumpa apige Gari zima
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom