Recent content by Eboo

  1. Eboo

    Kwanini Dkt Rhimo Simeon Nyansaho anaaminiwa sana na Rais Samia? Kunanini nyuma ya pazia

    Wakuu habari? Kumekuwa na minong’ono mingi mitaani na vijiweni kuhusu jina linaloendelea kuonekana kwenye teuzi mbalimbali za serikali – Dkt. Nyansaho. Wengi wanajiuliza: Ni nani huyu Dkt. anayemvutia Rais Samia mara kwa mara? Kwanini kila nafasi nyeti ya kimkakati anakuwemo? Baadhi ya...
  2. Eboo

    Natafuta nyumba ya kununua iliyokamilika

    Habarini wana jamvi, kama mada inavyojieleza apo, naitaji nyumba ya kununua iliyokamilika. Iwe ni vyumba 2 au v3, kimoja wapo kiwe master au vyote, kuwe na sebule, jiko etc. Location iwe Dar, Morogoro au Mwanza, Arusha. Isiwe mbali na mji, iwe na umeme pamoja na maji. Offer yangu ni 40million.
  3. Eboo

    Kama unaitaji dollar, wasiliana nasi

    Habari wana JF, kwa sasa kumekuwa na uhaba wa dollar kinachopelekea wengi wa wafanyabiashara shughuli zao kukwama. Nimekuja na suluhisho la kukusaidia wewe mfanyabiashara unaeagiza bidhaa nje, kama unaitaji dollar wasiliana nasi kupitia Canvatanzania@gmail.Com Rate: 2830
  4. Eboo

    Graphic designer, web + mobile apps developer and social media manager

    Habarini wanajamvi, kwa anaeitaji mtaalamu wa graphic design, website and blogs development, mobile apps development na maswala yanayoshabihana na mambo ayo pamoja na mambo mengine ya ICT asisite kunijuza Nina uzoezi wa miaka 4 kwenye ayo mambo apo juu Nimetengeza websites na blogs tofauti...
  5. Eboo

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    New updates kutoka kwa wahusika 1.Wasio kuwa na vyeti vya jkt/jku wanawekwa kando 2.Wale ambao hawajafanya verification ya vyeti mahakamani(hakimu/mwanasheria) pia kando 3.Ambao wamegoma kuambatanisha medical report pamoja na nambari ya NIDA kama walivyoitaji wao,kando Vitu ambavyo watarushiwa...
  6. Eboo

    Kuhusu mfumo wa maombi ya mkopo Heslb

    Habari wanajamvi, Napata changamoto kwenye icho kipengele cha mwisho(kwenye picha) .... Ukizingatia field zote zimejazwa pamoja na attachments, lakini uki save inapop up iyo notification Msaada tafadhali juu ya hii changamoto
  7. Eboo

    Dondoo kuhusu ufadhili wa masomo nje ya Tanzania (Scholarship updates)

    Habari wanajamvi,,,,naitaji scholarship za information technology (IT) full funded, kwa mwenye tetesi za iyo kitu msaada tafadhali[emoji120]
  8. Eboo

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Anyway... Tukutane j3
  9. Eboo

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Today's 6+ odds Accurate in 99%
  10. Eboo

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    1.7 odds Zinaanza saa 4 Uhakika 99%
  11. Eboo

    Msaada kwenye ili tatizo la moyo

    Shukran mkuu
  12. Eboo

    Msaada kwenye ili tatizo la moyo

    Asante mkuu
Back
Top Bottom