Graphic designer, web + mobile apps developer and social media manager

Eboo

Member
Aug 22, 2019
43
55
Habarini wanajamvi, kwa anaeitaji mtaalamu wa graphic design, website and blogs development, mobile apps development na maswala yanayoshabihana na mambo ayo pamoja na mambo mengine ya ICT asisite kunijuza

Nina uzoezi wa miaka 4 kwenye ayo mambo apo juu

Nimetengeza websites na blogs tofauti tofauti ambazo zipo active adi sasa za makampuni na watu binafsi(sitaziorodhesha)

Nimetengezeneza apps mbali mbali zilizopo praystore na appstore za makampuni tofauti tofauti na watu binafsi (sitazitaja)

Nimemanage social medias za makampuni tofauti tofauti kwa kiwango cha juu

Mfano wa kazi zangu za graphics
IMG_2891.jpg





IMG_2890.jpg

IMG_2892.jpg

IMG_2893.jpg

F355EDF2-01F7-4C7B-B784-9C12D30FE1F5.jpg


Kwa mawasiliano unaweza kunitafuta kwa normal text and calls pia whatsapp kwa namba 0744120490
 
Back
Top Bottom