Mimi nitakuwa na dhana tofauti kidogo. Mke ndio msaidizi wa mume. Sio mume msaidizi wa mke. Tukianza kubadilika kuanzia hapo tutawafanya wake zetu kuyafurahia maisha kwasababu mfumo dume utatoweka ndani ya jamii zetu. Hakuna kazi za kike wala za kiume jambo la msingi hapo kila mmoja wetu achukue...
Mwandishi amekusudia kuweka uzito kwenye Pande hilo la dhahabu. Hicho pia Mch Rais aliliona wazi ndio maana ANGASHITUKA' Hongera JK Umesaidia kuanzisha vichwa vipya magazetini. Kwa upande mwingine ilikuwa na haki ya kuipokea zawadi uliyopewa kisha ukaamua mwenyewe jinsi ya kuitumia.
Tutaongea mengi. Tutakesha mpaka asubuhi, jibu hatutalipata na ukweli hautapatikana itabaki sitofahamu ndani ya jamii huku tukibaki kunyoosheana vidole midhili ya mirindimo ya pwani. siku zote jamii hujengwa na wenye nguvu au kwa lugha nyingine naweza kusema kuwa jamii hujengwa na wanajamíi...
Bila shaka tunaikumbuka hotuba aliyowahi kutoa Rais JK ambayo ndani yake kulikuwa na ushauri kwa Serikali ya Kigali kwamba Kagame akae meza moja na waasi ili kuweka mambo sawa yanayoendelea kutishia amani ukanda huo, Hotuba ile ilikuwa na ubaya gani mpaka kupelekea Kagame na serikali yake...
AAH WAPI!, anaweza kuwa hawara tu huyo! Kwa maadili ya leo digital kila mahali. Tutakuwa na mababa wangapi. Viongozi wetu hebu tendeeni wema nyazifa mlizopewa. NB: SIJAJUA KAULI ILITOLEWA KWA MAMTIKI GANI.
Point. Tanzania lazima tuamke na kusonga mbele. EAC iwe sehemu ndani ya fursa zetu ktk ushirikiano. Tufungue milango kwa wawekezaji na ushirikiano sehemu nyingi zaidi mfano Kongo, SADC nk, kufanya hivyo kutatutoa hapa tulipo sasa.
Ujarisi sio kwa wambanaji kijeshi pekee. Pia wewe ni mmoja wa majasiri kwa kuthubutu kuanika lako hitaji. Nchi zetu hizi huu ni utamadu mgeni kidogo kwa mwanamke kujitokeza wazi wazi kama wewe ulivyofanya. Kuna usemi usemao kwamba 'MTU HUNENA YALE YAUJAZAYO MOYO WAKE' kazi kwenu wale wanaokidhi...
Napenda kuanza kuwapongeza wale wote walitoa msaada wa kumsaidia na kumsitiri kichanga aliyeletwa duniani hivi leo, Pongezi wote. Haijalishi mazingira aliyojifungulia niliwahi kushuhudia matukio mbali mbali ya kina mama wakijifungulia ndani ya vyombo mbali mbali vya usafirishaji. Kwa mfano ndani...
Kwanza napenda kuungana na mwana jf aliyetangulia aliyetoa wito/ushauri kwa katibu mkuu wa wizara husika kuachia ngazi kutokana na mkanganyiko uliotuchanganya wananchi juu ya madaraja ya ufaulu nchini. Jambo hili limezidi kudhihirisha madudu yaliopo ndani ya serikali yetu. Jambo linaloniumiza...
Napenda uuguze majeraha kwanza upone vizur kisha ita waandishi wa habari uelezee vzur bila kona kona, pia uruhusu maswali. Na sisi wana JF tuyapembue.UGUA KUPONA HARAKA
Mheshimiwa Edward N.Lowasa, Mbunge wa Monduli na aliyewahi kuwa Waziri Mkuu ktk awamu ya kwanza ya uongozi wa Rais anayemalizia muda wake sasa Jakaya M.Kikwete. Nilifuatilia mchango wake alioutoa bungeni majuzi alipokua anachangi hoja moja wapo bungeni Dodoma. Kwanza alijikita moja kwa moja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.