Husika na kichwa cha habari, kwa nafasi yoyote ya kazi ndani ya Dar es Salaam ambayo unadhani itahitaji mtu mwenye sifa zifuatazo,tafadhali tuwasiliane (0716 403214)
Wasifu wa mwombaji:
JINA: (limehifadhiwa)
JINSIA: KE
UMRI: miaka 26
ELIMU: Zaidi ya kidato cha 6
MAKAZI: Dar es Salaam
Uzoefu...
Habari ndugu msomaji. Hii ni habari njema kwako kama unahitaji kujifunza upigaji picha kitaalamu zaidi au unataka kujiendeleza katika fani ya upigaji picha.
Tunakuletea KOZI fupi ya mwezi mmoja.
Na utafundishwa MADA 10 kuhusu "Contemporary Digital Photography" ambazo ni;
1)Introduction to...
Hahahah mkuu chombo kikiwa na engine..unaenda nacho popote usiogope kikubwa service..halafu unatembea mwendo laini wa 50-80kph unafika vizuri tu. Pikipiki inatoboa mwanza vizuri tu(kitachomchosha devera ni makalio kuwaka moto kutokana na umbo la kiti cha pikipiki) sasa gari inashindwa vipi.
Sasa kwani hiyo ky ukiinunua unafikiri inaisha mara moja?..ile ni kama dawa ya meno tu..unaeza tumia mwezi mzima.kwahiyo hata wakihitaji prescription jua itabakia tu na itatumika kwa matumizi mengine
HABARI...Tunauza mayai ya kisasa kwa bei nzuri. BEI ELEKEZI kwa sasa ni Tsh 8400/= kwa tray.(Bei huweza kushuka mpaka 6500 kulingana na kipindi husika)
Mayai yapo ya kutosha na huduma hii inapatikana kwa wakazi wa Dar es Salaam tu.
Huduma inakufikia sehemu ulipo bila malipo ya ziada (FREE...
HATA UKIENDA HUKO VIBANDA POA..BUT Utakuta tu mwisho wa siku yeye ndio kala ghali zaidi yako..[emoji4] Unless u decided to dictate what u should eat without giving her a room to choose from the available menu.
Habari wana familia..Niende kwenye JIPU MOJA KWA MOJA.
KUNA KATABIA Nimejaribu kukachunguza cha wanawake wengi pale wanapoalikwa "DATE" na wanaume huwa inapokuja muda wa CHAKULA wanawake hupenda kuagiza vyakula vilivyo ghali zaidi..hali yakuwa hata wao wakati mwingine hawawezi kulipia hiyo...
MKUU PIGA CHINI HUYO MWANAMKE..USIPASUKE KICHWA KABISA..UNAPOOA..TUMEAMBIWA TUANGALIE PIA NA FAMILIA WANAZOTOKA WAKE ZETU..UNAEZA OA FAMILIA INA MANYAUNYAU KAMA HIYO HUTOSOGEA KIMAISHA..AU FAMILIA YAKISWAHILI SANA..HUTAINJOI MAISHA KILA SIKU NDUGU AU MANENO TU...AU FAMILIA YENYE SHIDA ZAIDI YA...
Habari wana jamii..Nauliza jambo
Kuna tafiti zinasema Ni rahisi kumrudia mwanamke ULIYEMUACHA kuliko kumrudia mwanamke ALIYEKUACHA.
JE KUNA UKWELI NDANI YAKE?
Kama kuna kisa kilikutokea.Tafadhali share with us.
Wakati unatafuta msichana manually..keep this in mind.
"A man without money is like bow without an arrow"
"Birds can easily align by grain than by stick or sweet words"
NB:..Jiongezee mkuu...No free Love.
Hehehehe....
MARA NYINGI MIMBA HUSHIKA KWA MWANAMKE USIYE NA MALENGO NAYE.(Hii pia ni chanzo kikibwa cha single moms)-wanatega mashine..kitu inajaa vizuri baadae kelele mingi.Mwanaume kama hajawai kuwaza kuzaa na wewe..lazima ataonekana kama anakwepa majukumu (lakini kiuhalisia inamuumiza kuzaa...
KUNA METHALI INASEMA HIVI:
"An idle person may have just three tasks;sleeping,eating and quarrelling"
Hivyo basi kama wakwe zako hawana shuhuli..tegemea ugomvi na lawama.
Suluhisho kataa kwenda kukaa..ni aibu kwa morani kurudisha mpira kwa kipa..mwambie mumeo akaze kamba.kuna vyumba vya bei...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.