Je unatafuta mfanyakazi maridadi ?

EBBAH

Member
May 8, 2017
75
73
Husika na kichwa cha habari, kwa nafasi yoyote ya kazi ndani ya Dar es Salaam ambayo unadhani itahitaji mtu mwenye sifa zifuatazo,tafadhali tuwasiliane (0716 403214)

Wasifu wa mwombaji:

JINA: (limehifadhiwa)
JINSIA: KE
UMRI: miaka 26
ELIMU: Zaidi ya kidato cha 6
MAKAZI: Dar es Salaam

Uzoefu wa Kazi:

1-Hotel receptionist
2-Sales representative
3-Cashier
4-Shop manager

Taaluma ya ziada:

1-Basic computer application skills

Sifa binafsi:

1-Mchapakazi
2-Muaminifu
3-Mbunifu
4-Mwenye lugha nzuri ya biashara
5-Mwenye uwezo wa kujifunza haraka
6-Mwenye uwezo wa kuongea na kuandika Kiingereza
7-Mwenye uwezo wakufanya kazi mazingira yote

NB: Ukivutiwa na sifa hizi, usisite kutoa fursa kwa kijana wa kitanzania. Ahsante.
 
Mi bachela sijaoa atakubali kufanya kazi kwangu kufua kipika tuseme usafi kijumla pia badee ndio office itafuata
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom