Recent content by ebaeban

 1. E

  Je, ni sababu gani zinazosababisha mimba za utotoni na kupelekea Wasichana wadogo kuwa Mama katika Umri mdogo

  Mmomonyoko wa maadili na utanda wazi nayo ni sababu, kipindi hiki kukutana nqa msichana na kutongoza ni rahisi sana, sehemu ya kuktania ni nyingi, barabarani, shuleni,kwenye sherehe mbalimbali, pia simu za mikononi nazo zimerahisisha mahusiano.
 2. E

  Kamwe usikubali rafiki au ndugu aliyefilisika awe sehemu ya maisha yako

  Hapo mambo yanaweza kuwa kinyume, mtu anakuwa na watu wake na kuwafanyia kila anachoweza wakati yuko vizuri, lakini bahati mbaya ikimjia akaishiwa na wale aliokuwa anawasaidia Mungu anawajalia basi wao wanakuwa hawana time na yeye kabisa . Kaa ukifiria na hilo kaka, hakuna binadamu aliyekamilika...
 3. E

  Profesa Kabudi, Tanzania imewahi kushindwa vita nyingi tu

  Halafu neno MABEBERU ni hatari sana kulitumia ni sawa wewe mpangaji unamtukana mwenye nyumba 1. Muna mbuga kama Serengeti mtaenda kutalii wewe na mkeo? 2. Muna mazao ya biashara kama korosho mtanunua wewe na mkeo? 3. Muna madini mtayanunua wewe na mkeo? Mzee Nyerere aliwaita MABEBERU...
 4. E

  Kufuzu Afcon 2021

  Ndiyo uwezekano upo kama ikishinda mechi zote mbili zilizobaki itafikisha alama 10, itakuwa imefuzu, inatakiwa kuishinda timu ya taifa ya Libya nyumbani na kuishinda timu ya taifa ya Guinea ya Ikweta uganini.
 5. E

  Palamagamba Kabudi, are you really a Diplomat?

  Tanzania haijawahi kushindwa je! Siasa ya ujamaa iliweza?
 6. E

  Kuwaita wafadhili wetu “mabeberu”, kabla hatujaweza kujitegemea, ni ushamba unaoweza kuliangamiza Taifa tusipokuwa makini!

  Ndiyo. Mzee Nyerere aliwaita mabeberu wakaiangusha bei ya zao la mkonge halina bei hadi leo. Alipokuja Mzee Mwinyi akabadilisha jina wakawa wahisani au wafadhali, Mzee Mkapa akawaita wawekezaji. Mzee Kikwete akawaita wadau wa maendeleo sasa awamu hii tunaanza kurudi kule kule kwa Nyerere ambaye...
 7. E

  Simba SC is somethingwrong somewhere

  Mufululizo, we vipi? Timu ifungwe mfululizo, nenda zako kalale,
 8. E

  Simba SC is somethingwrong somewhere

  Haya tena wana Simba tumepigwa na kibonde Ruvu shooting,safari hii nyumbani kwenye kiwanja kizuri kabisa. Nasema there is something wrong somewhere siyo bure, timu inayohudumiwa vizuri haiwezi kubali matokeo kama haya mfurulizo, sasa wanaSimba tuzame kwenye mahesabu ili tuibue hizi wrong...
 9. E

  Simba Vs Ruvu Shooting: Tutegemee soka na matokeo ya aina gani?

  Ruvu shooting wanacheza mpira wa ridhaa waslahi yao ni kiduchu kabisa zaidi ya kununuliwa chakula siku ya mechi eti ndo mpaka dakika ya 60 Simba haijasawazisha bao moja timu inayolipwa vizuri wachezaji wanalala pazuri nani atavumilia upuuzi huu Simba kufungwa mala mbili mfululizo na vibonde...
 10. E

  Simba Vs Ruvu Shooting: Tutegemee soka na matokeo ya aina gani?

  Mpira ni mapumziko, Simba hawajafanya move yoyote ya maana,sub inatakiwa mapema sana la sivyo tutakuwa point 9 adrift nyuma ya Yanga ambayo kimaslahi inajikongoja tu.
 11. E

  Simba Vs Ruvu Shooting: Tutegemee soka na matokeo ya aina gani?

  Simba wameanza kuzingua inaelekea hawapati mshahara, wameruhusu bao la makusudi kabisa, matimu ya bongo bwana
 12. E

  Simba Vs Ruvu Shooting: Tutegemee soka na matokeo ya aina gani?

  Ruvu shooting GOOOOOOO, Ruvu shooting anaongoza
 13. E

  Live toka CCM kirumba: KMC vs Yanga

  Magoli kama hili goli la 2 la yanga alikuwa anafunga Mzee Sunday Manala peke yake, tena alikuwa anawafunga Ghana wanaojua siyo matutusa kama Kmc
 14. E

  Live toka CCM kirumba: KMC vs Yanga

  Mchezaji gani yule wa yanga kapiga chenga ngome yote ya KMC kafunga goli la pili
Top Bottom