Recent content by Easymutant

  1. Easymutant

    JamiiForums Tanzania Nilifanya ujinga kumsomesha mdogo wangu wa kike

    Achukue tu hayo maamuzi magumu hujajua tu uchungu wa kaka and i support him 100%
  2. Easymutant

    JamiiForums Tanzania Shirika la Posta Tanzania na ubabaishaji katika biashara za Kimataifa

    Wanakera sana hususani Arusha post office kuna mdada anaitwa Ruth ana majibu ya kijinga sana na kwa nyodo as if unaomba msaada! Mzigo unautrack kuanzia ulikotoka fresh kabisa ukifika bongo ndio mwisho wa kutrack na ukiwauliza aanasema mzigo hauonekani kwenye system hovyo sana hawa jamaa!
  3. Easymutant

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nilipita mpakani bila kugongewa Muhuri wa kuingia wakati nikirudi Tanzania

    Chonga muhuri jingongee trust me it works in Africa
  4. Easymutant

    JamiiForums Tanzania Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

    Unataka kuacha pombe halafu utatubu dhambi gani sasa??
  5. Easymutant

    JamiiForums Tanzania Anayepata 4G ya TTCL anyoshe kidole

    Nyumbani kumeingia mdudu
  6. Easymutant

    JamiiForums Tanzania Ujue urefu wa binadamu wa zamani enzi za kina Nuhu. Walikuwa sawa na ghorofa 25

    Hivi wakulima wa korosho washalipwa?
  7. Easymutant

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

    [emoji3][emoji3][emoji3]
  8. Easymutant

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeona ...wa mke wa mtu ikawa shida, Je nimekosea?

    Chai isiyo nasukari .. watu wa Chato sijui mna shida gani yani
  9. Easymutant

    JamiiForums Tanzania Ni wapi tumekosea? Viongozi wetu hawana hadhi ya kuonana na Obama?

    Umekosea it’s “JIWE”
  10. Easymutant

    JamiiForums Tanzania Usikubali kutumika kutekeleza mabaya

    Niko Koromije
Back
Top Bottom