Inafikirisha: Nimesafiri siku tatu, Nilivyorudi nimekuta kuku wangu majogoo wamehamia kwa jirani yamebaki majike tu

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
11,284
21,398
Hii imekaaje!

Nafuga kuku wa kienyeji, nyumba iko ndani ya fensi, lakini kuku wangu wote majike kwa majogoo wameshazoea kusakula sakula hadi nje kwa kuruka ukuta asubuhi na jioni hurudi kwa style hiyo hiyo hadi bandani!

Nina kuku 9 wakiwemo jogoo watatu!
Nimeshangaa sana niliposafili (nyumbani ikawa haina mtu kwa siku tatu tu) Nimerudi Nakuta majogoo wote watatu wamehama wanalala kwa jilani, Wale majike hawakuhama wapo wote!
Nimewaza kwanini wamehama? wakati maji yapo, na chakula wanajitaftia kwa kusakula sakula wao wenyewe kila Sikh?

Sasa nafikilia hawa jogoo niwachinje tu wasije nitia hasara!!
 
labda mitetea ya jirani yako ni warembo na ni wengi,ongeza majike warembo,toa hao waliozeeka.hawatahamia tena Kwa jirani,ni kawaida kabisa...Kama baba yake Da'Vinci tu,aliaga anakwenda kijijini,jioni akakutana na mwanae anatoka nyumba ya wageni..
 
Jirani bana siyo jilani
 
hahah
 
oooh manyoya au mabawa? nawaza nikiwatoa mabawa sijui watarukaje ukuta
Je walikuwa wanakokoliko au? Midume ikiona majike ya hapo kwako hawana mpango au wanataga, basi wanatafuta wale ambao wapo free. Au labda majike yako ni matasa. Nawaza kwenye keyboard lakini.
 
Back
Top Bottom