Recent content by earl

  1. earl

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa namna ya kutuma maombi ya kazi kwa njia ya Posta

    Unaweka documents zote (viambatanishi vilivyotajwa ktk tangazo la ajira) kwenye bahasha. Upande mmoja wa bahasha unaqndika jina na anwani makazi ya huyo aliyetangaza ajira. Upande wa pili wa bahasha unaandika jina lako, anwani na namba yako simu. Nenda posta, idara ya vifurushi (EMS) na bahasha...
  2. earl

    JamiiForums Tanzania 92.5 Dar Bado wanachambua michezo hadi mchana huu saa saba kasorobo. TZ tunasafari ndefu sana

    Radio stations za Bongo zimekuwa kitu cha ajabu! Hawana vipindi ambavyo vinaelimisha. Ni porojo, mziki, udaku, na habari ambazo hazijafanyiwa utafiti.
  3. earl

    JamiiForums Tanzania Hivi inakuwaje mtu unaendesha gari namba 'A' au 'B'?

    Ile Rav 4 iliyokula vichwa vitatu Kibororoni ilikuwa namba B?
  4. earl

    JamiiForums Tanzania Jenerali Ulimwengu: Nyerere alikuwa Mwenyekiti wa CCM tangu 1954 hadi 1990, Mbowe Cha Mtoto mnamuonea Bure!

    CCM ya mwaka 1954 ni ya nchi gani?
  5. earl

    JamiiForums Tanzania Kwanini serikali imebariki magari ya viongozi wa serikali kuwa namba feki? Mwanzo nilizani ni uhuni wa madereva kumbe wanapewa wabandike feki

    Ingekuwa hivi, yangekuwa yakiuzwa kwenye ile minada, mnunuzi angekuwa anapewa hiyo namba ya T…DVS. Lakini sasa hivi ukilinunua gari la serikali, utalazimikq kulisajili kwa namba ya sasa T…EKB
  6. earl

    JamiiForums Tanzania Marangu Coach imefikia hatua hii

    Hii inadhihirisha kwamba hapa TZ mmiliki wa biashara akifa, uwezekano ni mkubwa baishara aliyoacha nayo itakufa kwa usimamizi mbovu
  7. earl

    JamiiForums Tanzania Dawa ya kuua huyu mdudu

    WAnakula wadudu kama nzi, bubui, n.k. Kwa hiyo ukiwaondoa, jiandae kwa usumbufu wa kilichokuwa chakula chao
  8. earl

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje waliopata GPA ya 2 wanapata kazi huku waliofaulu zaidi wakiachwa wazurule?

    Lecturer mmoja alitwambia, bora ukapata gentleman GPA (2) lakini uweze kuitetea, kuliko first class ambayo ukienda interview, kila mtu anabaki anashangaa kama vyeti ni vyako ama la
  9. earl

    JamiiForums Tanzania Uasi dhidi ya Nyerere 1964 by Joseph Mihangwa

    Historia muhimu. Ni ajabu kwamba hatukusoma hili katika mitaala ya elimu ya msingi wala sekondari. Tukaishia kusoma the rise and fall of Mali kingdom
  10. earl

    JamiiForums Tanzania Tayari Watu wameshapigwa huko!

    Katika hii video, kuna hiyo Certificate of Incorporation imeonekana, nadhani ni feki. Wenye certificate hizi mpya za tarakimu 9, angalieni saini, mlinganishe na hii ya kwenye hii video
  11. earl

    JamiiForums Tanzania Kwanini siku hizi wanawake wengi hujifungua kwa njia ya upasuaji?

    Ni kubadili mfumo wa maisha, kuzingatia ulaji wa mlo kamili (balanced diet), na kuwa utaratibu wa kufanya mazoezi (physical exercises). Haya ni muhimu sana kuweka sawa hormone zao
  12. earl

    JamiiForums Tanzania Kwanini siku hizi wanawake wengi hujifungua kwa njia ya upasuaji?

    Wengi sana wana tatizo la hormone imbalance. Hii inawaletea changamoto nyingi sana kuanzia kupata ujauzito wenyewe. Wanafika kipindi cha kujifungua watoto hawajageuka kutanguliza kichwa. Hapo operation lazima. Tatizo la hormone na chanzo kwa sehemu kubwa
  13. earl

    JamiiForums Tanzania Wanahabari wetu hupata tabu kwenye suala la mahojiano kwa lugha ya Kiingereza, shida ni nini?

    Tatizo wanawaza kwa Kiswahili na kuuliza swali kwa Kingereza. Ili mtu uweze kuwa fluent katika lugha ni lazima unapohama kuzungumza lugha A kwenda lugha B, mawazo yako nayo yawe katika mtiririko wa lugha B
  14. earl

    JamiiForums Tanzania BRELA badilikeni

    Pole ndugu. Ni kichefuchefu. Bora zamani ulikuwa unaongea na anafanyia kazi ombi lako na sio mtu wa customer care.
Back
Top Bottom