Recent content by E52

  1. E

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Range rover sport ya kukodisha kwenye harusi

    nimetumwa na kamati...so ni uwezo wa kamati sio uwezo wangu.....so mwenye nayo ani pm
  2. E

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Range rover sport ya kukodisha kwenye harusi

    Wadau, natafuta range rover sport ya kukodisha kwenye harusi siku ya jumapili tarehe 14/12. Gari itapambiwa school of law karibu na kituo kipya cha daladala cha ubungo then itaenda kumchukua bibi harusi Sinza Africa sana then itaenda kanisani Magomeni Mwembechai then itaenda EPZA Ubungo external...
  3. E

    JamiiForums Tanzania Mercedes benz inahitajika kwa ajili ya harusi tarehe 14/12/2014

    Poleni na majukumu wadau, nimepewa jukumu la kutafuta gari kwa ajili ya kubebea maharusi, liwe jeusi. Mwenye nayo anipm na anitumie picha ya gari husika pamoja na bei anayokodishia. Shukrani
  4. E

    JamiiForums Tanzania Natatafuta toyota wish ya kununua

    Poleni na majukumu wakuu...natafuta toyota wish ya kununua...yenye namba ya C za mwisho mwisho.......alionayo anipm please..anitumie picha na price....shukrani..bajeti milioni 8
  5. E

    JamiiForums Tanzania Natafuta milango ya kichina kwa ajiri ya nyumba

    Wadau mambo vp ......wapi ninaweza kupata milango ya kichina ya nyumba kwa hapa dar....? Na inauzwa shs ngap ?....main door ni shs ngapi ? Na ya vyumbani ni shs ngap ? Shukrani wakuu
  6. E

    JamiiForums Tanzania Angalia parking ya magari ya wanafunzi vyuo vya dubai......... Rolls royce awesome!!!

    http://www.walimwengu.com/2014/02/angalia-parking-ya-magari-ya-wanafunzi.html
  7. E

    JamiiForums Tanzania Ijue nchi ambayo kila mtu ni milionea.....

    walimwengu: IJUE NCHI AMBAYO KILA MTU NI MILIONEA.....
  8. E

    JamiiForums Tanzania Chatu wawili wafunga ndoa.......kweli dunia imeisha

    www.walimwengu.com/2014/02/ushawahi-kuona-ndoa-ya-chatu-kwa.html
  9. E

    JamiiForums Tanzania SPECIAL FEEDBACK: JF members niliowasajilia Business Names na Company Limited 2013-2014

    nashukuru sana kk singo..mm ni mmoja wa mtu ulyenisaidia kupata bussiness name tena kwa gharama nafuu.. sikujua nianzie wapi lakini nashukuru pia hukuwa na tamaa ya pesa kwa kunipa uwazi ya njia zote na jinsi ya kufuatilia mm mwenyewe kama nitaweza.,nilikuamini na kukupatia kiasi icho kidogo cha...
  10. E

    JamiiForums Tanzania Nauza tablet aina ya zte v9

    nauza tablet aina ZTE V9 ANROID.....shs 300,000/-...ina mwezi mmoja...piga 0756 090222...haina tatizo lolote
  11. E

    JamiiForums Tanzania gharama kupaua/kuezeka

    kila la kheri
  12. E

    JamiiForums Tanzania Nauza uyoga

    Nauza uyoga kilo moja kwa fresh mushroom ni 10000, nautoga mkavu (dried mushroom) ni shs 50,000...karibuni wote.. 0756 090222 au 0717163106
  13. E

    JamiiForums Tanzania Ninunue Range Rover sport au Land Cruiser VX?

    Mdau kingasti nataka kuchukua used sio brand new
  14. E

    JamiiForums Tanzania Ninunue Range Rover sport au Land Cruiser VX?

    Wadau poleni na majukumu... Nimejaribu kufanya utafiti ili niweze kujua ubora wa haya magari mawili,,, Ninaomba ambao wanayamiliki au wenye upeo nao wanisaidie nifanye uchaguzi sahihi.... Ninunue kati ya Range Rover Sport au Land Cruiser VX? Natanguliza shukrani
  15. E

    JamiiForums Tanzania Toyota vitz fuel consumption

    Wakuu poleni na majukumu,,,,nilikua naomba kujua kwamba toyota vitz inaenda kilometa ngapi kwa lita....??
Back
Top Bottom