Toyota vitz fuel consumption

Toyota vitz fuel consumption

E52

Member
Joined
Oct 31, 2010
Posts
81
Reaction score
14
Wakuu poleni na majukumu,,,,nilikua naomba kujua kwamba toyota vitz inaenda kilometa ngapi kwa lita....??
 
18km if my memory is still functioning propery
 
itategemea na ubora wa engine mda ulionunua. Kama limeshatembea sana na limefanyiwa service sana definitely ulaji wake utakuwa kiasi kidogo ineficient. But still its economical car. You may get up to 15km per litre at its worst
 
Mm ninayo cc 998 imeingia bongo 31 july wastani ni 13 - 15 km/litre (full kipupwe) na pia hapo kitambo nilikua na ingine 1300cc ilikua na wastani wa 9-10 km/l ila hii ilikua imetumika bongo kwa zaidi ya 2yrs.

Kwa ujumla naridhika nayo japo uzoefu wangu si mkubwa kivile kwani hili ni gari la 3 kuwa nalo
 
Vitz csp10 model ni very economy kwenye fuel consuptio,huwa inafikisha mpaka 20 klm kwa lita moja ukiwa highway.
 
Back
Top Bottom