Ijue nchi ambayo kila mtu ni milionea.....

Ijue nchi ambayo kila mtu ni milionea.....

mkuu unapopost jf unaweka habari yote na sio link ebooo...
 
Mmmh hovyo jamani kweli kunaa mambo mengine bana duu hata mbwembwee hazionii ndani. Waziri wa fedha wauko akaona isiwe tabu ana wapumbaza. Kwakua wa ambia wataje bei izo kubwa za pesa wakizani inapunguza maumivu ya maisha? Na ugumu wahela kumbe wapi patupu wameshika chini yani patupu haina wala haileti maana kamili eti milioni kumbe ni miambili kibongo bongo but ndo ivo tu kama vidole havi lingani haina haja ya kubisha apo. Kila mtu na maisha yake au nchi na watu wake so watajua wenyew sisi haituhusu? Tuangalie yetu?
 
Back
Top Bottom