Natafuta milango ya kichina kwa ajiri ya nyumba

Natafuta milango ya kichina kwa ajiri ya nyumba

E52

Member
Joined
Oct 31, 2010
Posts
81
Reaction score
14
Wadau mambo vp ......wapi ninaweza kupata milango ya kichina ya nyumba kwa hapa dar....? Na inauzwa shs ngap ?....main door ni shs ngapi ? Na ya vyumbani ni shs ngap ? Shukrani wakuu
 
Back
Top Bottom