Recent content by E.M.E.M

  1. E

    Mchango kijijini/mtaani

    Wataalamu wa sheria shikamoni/wengine habari ya wakati huu tena. Hapa chini kunatangazo nimelipata huko Facebook limewekwa na mtu anaendhaniwa kwamba anawadhifa katika mtaa ,naomba tujadili hili kitaaluma.Ahsante
  2. E

    Naombeni kujua

    OK ,asante
  3. E

    Naombeni kujua

    Naomben kujua ipi facat nzuri Kwa wakati huu nchin kwetu TZ 1.Human resources and management 2.political science and public administration
  4. E

    Tatizo la mgongo

    Chanzo huwa ni nn,
  5. E

    Tatizo la mgongo

    Ninasumbuliwa na mgongo karibu na kiuno, tafadhar naomba ufafanuzi.
  6. E

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Jaman tanesco kwanin wilaya ya mbarali mkoa wa mbeya huwa mnakatakata umeme? Imekua kero kwenye mioyo ya wanambarali,please wekeni mambo sawa
  7. E

    Wale wa kuweka mizigo, tubashili APA,tupange matokeo.

    Southampton VS evaton Burney VS arsenal Huddersfield VS man city
  8. E

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Please naomba tusaidiane apa jaman kubashil mana hali mbaya wacha tutafune pesa ya muhind. Westham VS leicister Celta Vigo VS leganes Hannover 96 VS VfB stattigat
  9. E

    M-bet

    Mara ya mwisho elf 56,team 13
  10. E

    M-bet

    Wakuu naomben mnisaidieni kutabili APA, West ham vs leicister Celta vigo vsleganes Hannover96 vs stuattgst
  11. E

    Tuliokosa mkopo tushauriane cha kufanya

    Kwa wale tulio ahilisha masomo Kwa kukosa mkopo ,tukutane apa, tushauriane cha kufanya tutakapo omba mkopo mwakani
  12. E

    Dr shika

    Ndug wana jamii forum,kumekuwa na taarifa ya kuhusu doctor shika kwamba Ni msomi (doctor) ,MTU huyu Kwa historian angewwza kutusaidia Kwa mambo mengi sana, MTU huyu alisomeswa Kwa pesa za serikali,pesa ya walipa kodi,.Leo hii amefikia hapo na hats kuingia kwenye matatizo,hatujui Ni nn kimemkuta...
  13. E

    Dirisha la kuappeal mikopo limefunguliwa rasmi, dirisha litafungwa tarehe 19 Novemba

    Bila kufanya registration huwez Ku appeal,sasa wanafunz maskin jaman s matus haya
  14. E

    Wanafunzi wengine 1,775 wa mwaka wa kwanza wapata mikopo

    Kwanza wamechanganya na waliopata mwanzo ili ifike idad ya 1775 ila non sense
Back
Top Bottom